Fighting For Bishanga's Money...Mtauwana Mwaka huu...

Fighting For Bishanga's Money...Mtauwana Mwaka huu...

Mi kama mgeni vile hapa.
Kunani hapa jamani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bishanga kashafulia siku hizi muachieni hivyo visenti jamani uzee wake uishe vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady kwani hujui sherehe za mashujaa huwa zinaendana na nyama choma na bia na lazima wale mashujaa waliwazwe kwa kazi nzito ya kupambana so hapo mtegemee mwezi wa kumi na mbili
KOKUTONA hebu fanya utakiwacho kufanya usishangae kiwatengu na sosoliso wako hapa

Kwani KOKUTONA anatushangaa hapa..? Wewe Mr Rocky mbona unatuwangia..? Halafu nilikuambia Mamndenyi anakuhitaji uwe nae karibu kipindi hiki kigumu kwake.. Nashangaa unarukaruka tu huku..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom