Fighting For Bishanga's Money...Mtauwana Mwaka huu...

Fighting For Bishanga's Money...Mtauwana Mwaka huu...

We Passion Lady familia yako haina mvuto bana wala haitavutia media sana sana watakuambia ina kwashiakoor na haijui kuvaa wanavaa nguo za tandale kwa mtogole wakati wenzao wanavaa za woolworth
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady tena wakikuona unaandamana watasema omba omba ametoroka kambini utajikuta kambini morogoro
 
Last edited by a moderator:
We sosoliso unataka ndoa yangu ivunjike eeehh
Mamndenyi nishampa pole bana na nimesikia Bishanga yuko nae kwenye kilio so anapata liwazo
Passion Lady hawaruhusiwi kwenda wake halali wa shujaa ila anatakiwa apate kitulizo kule kule

Mwaka huu nimeamuwa kuwa na displin ya hali ya juu. wanaume hasa wa watu basi ukianzia na Bishanga na wengine wote mimi@mamndenyi sitaki tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom