Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Umeachwa au umeachika?Nna machungu ya kuachwa
Na nani tena
Umeachwa au umeachika?Nna machungu ya kuachwa
Mi namwangalia tu namlia chabohuyu jamaa anataka kufanya mambo upside down kuwasingizia...
Afu kanambiwa ana machungu ya kuachwa,sijui kaachwa na nanisi ndo mpaka ajisikie
keshozoea kugombewa hata huko
kwenye sebule anazoshinda; so kwake ni
1+1=2
Ha ha haaaa yule mdada akisikiaaaa....shauri yako? Mkali huyoooo
Love you tooo (i take risk here)
halafu na wewe kuna sehemu umeonekana makorora
Kwani umtenge Mamndenyi wakati na yeye yuko kwenye kinyanganyiro
Mpenzi waambie NIKO BIZE, naandaa mazingira ya kuingia ikulu.
binamu i miss u
umenionea wapi Ruttashobolwa?
Mekumiss binamu Passion Lady sana tuu aise
Ruttashobolwa ninemuona kwenye treni anaenda kashaija bukoba kwenda kusherehekea sikukuu ya mashujaaa na yeye eti ni shujaa maana alipambana na vibaka wa tandale kwa mtogole
heheheeeee!!binamu umeniua mbavu zangu
shujaa wangu Ruttashobolwa ya kweli hayo
ulipambana na vibaka wa kwa mtogole?mbona hujaniaga?
ni wewe kweli? nitakujuaje?
cant talk kwa sasa.....
nidhibitishie kwanza...
mabega haitoshi..maybe na ile kitu ili niprove kabisa