Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Huu muongozo TFF walishautoa kitambo kuwa idadi ya siti ndio watu watakaopewa kadi na tff ilishasema kuwa viongozi ndio wanaongoza kuvunja utaratibu kuja wengi wakati kadi inataka mtu mmoja tu
Kulikuwa na shida gani maana waliozuiliwa wote walikuwa na kadi zao mkononi? Au unadhani walizamia?