Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na familia yake na kurudi nyumbani.,..katika hali ya kushangaza mara baada ya mechi kuisha tu TFF wakataoa waraka huku wakimlalamikia CEO kw utovu wa nidhamu pamoja na viongozi wa Club ya Simba...Maswali machache ya kujiuliza kuhusu wa TIFUTIFU yetu inayoongozwa na msomali aliyeloea Tanzania

1. Hivi angekuwa waziri wa habari wa michezo amekuja na wanafamilia hao naye angefurumishwa na watoto wake?
2.TIFUTIFU ,mlitaka hao watoto wakakae wapi tofauti na mtu mzima aliyekuja nao tena wakiwa na VVP gate pases?
3.Hivi nani alikuwa mwenyeji wa mchezo wa leo ni TIFUTIFU au Simba? hivi nani anatakiwa kusimamia nani aingie uwanjani nani asiingie?
4.Nini kilichopelekea TIFUTIFU kuvunja rekodi ya kutoa tamko wakati mchezo bado unaendelea jambo ambalo halikuwahi tokea? kawaida yenu matamko yenu huja baada ya siku mbili tatu! nani kawatuma?
5.. Rais wa TIFU TIFU unasubiri kutumbuliwa kwa tukio hili la aibu? kwa nini usijiudhuru mapema saana...na kurudi kwenu somalia?
Unatoka usenene unakuwa kumbikumbi sasa
 
CEO atambue kuwa uwanja wa taifa sio mali ya Mo naona kajisahau sana mpaka taratibu anazivunja
 
Linadhani uwanja ni wa Mo na kuanza kuvunja utaratibu. Videmu vilivyozoea kuwa mchepuko wa maboss ndo tabia zao hizo
Hizi dharau zako kwa jinsia ya kike ni aibu. Wao ni mama zetu, dada zetu na hata wake zetu. Tutoe hoja kwa kuheshimu jinsia. Kwani wewe una uhakika gani kama baba uliyenaye ndiye baba yako?
 
Wapi nmedharau jinsia hapo? Yeye ni mchepuko tu
 
Halafu huo uwanja sio mali yenu nyie mbumbumbu na taratibu za maofisa wa bodi na kamati tendaji zipo wazi kabisa kwenye la VVIP na ukitaka kuja na watu wengine basi inabidi uwalipie kiingilio na sio kutumia special tickets za maofisa ndio zitumiwe na hao watt

Uzezeta wenu kwa wahindi ubaki ukouko na sio huku kwetu nyie makolo
Sawa Nyaniìiìiì
 
Kwakuwa mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu ngoja nikuelimishe.

Hata Airport anayepita VIP ni yule tu mwenye diplomatic passport na siyo familia yake.

Muache upuuzi kuabudu wahindi pumbavu kabisa.

View attachment 2040807
Barua wameandika haraka sana ila marefa wakiboronga kimya.Hili jambo dogo sana halikuwa na haja ya kuandika barua.Wenye hekima husema usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana.
 
Kwahiyo Barbra alivyo andika mtandaoni kwamba amezuiliwa kuingia uwanjani alikuwa anategemea nini?

Acheni Uzezeta wa kihindi nyie makolo, huyo demu wenu kafanya vurugu uwanjani na malalamiko tayari yameshafika vyombo vinavyosimamia michezo

Acheni u much know nyie mazezeta, sio kila lazima kifanyike mashindano ila ni utaratibu tu umewekwa na lazima ufuatwe
 
Hao watoto ndio walikuwa Uchawi wa Simba,wangeingia Simba ingeshinda,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unashindwa kumvua nguo Mama yako mzazi ndio uje kuwavua nguo TFF

Nyie mazezeta wa kihindi acheni ujinga huo
 
Babra ameingia kwenye vita amegusa maslahi ya wahuni na wajanja wa mjini,akili za babra hazitakiwi kwenye mpira wa Tanzania,ana mtazamo na akili kubwa sana ila bahati mbaya watanzania hawapendi watu wenye akili kwenye mambo yao.
Wahuni watamtegea mtego na ambao tiyali wameutega ili wamfungie maisha kutojiusisha na mpira wao,nchi hii ukiwa na akili timamu utatengwa na wananchi na mamlaka za nchi,sisi ndio ngozi nyeusi,matendo mpaka mambo yetu ni meusi.
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
“Nafikiri Utaratibu wa eneo la VVIP uliwekwa mapema.. Nani anatazamiwa akakae wapi na kwa Taratibu zipi!

Kadi zilikuwa na majina ya wahusika na ikaelezwa kabisa [Siku moja kabla] NI MARUFUKU MTU KUTUMIA KADI YA MTU

Kadi za VVIP pia zikasema kuwa WATOTO HAWARUHUSIWI eneo Lile..

Kama hizi Taratibu zilizungumzwa na kukubalika pamoja, kwanini iwe Tatizo kwenye Utekelezaji?

Kama kulikuwa na changamoto yoyote kwenye makubaliano, yalitakiwa kuwasilishwa mapema kabla ya siku ya mchezo!

Wachezaji kiwanjani wametuonyesha Thamani ya FAIR PLAY kwenye soka!

Tazama namna wachezaji baada game kuisha walivyokuwa wanafuraha wenyewe kwa wenyewe na hiyo inadhihirisha mchezo wa mpira ni mchezo wa kiungwana

Lakini nje ya uwanja, 'watu wachache' kwa 'sababu zao binafsi' wanataka kutuonyesha kuwa hakuna UUNGWANA kwenye Soka letu

Hii sio Sawa” ..
 
Kwahiyo Barbra alivyo andika mtandaoni kwamba amezuiliwa kuingia uwanjani alikuwa anategemea nini?

Acheni Uzezeta wa kihindi nyie makolo, huyo demu wenu kafanya vurugu uwanjani na malalamiko tayari yameshafika vyombo vinavyosimamia michezo

Acheni u much know nyie mazezeta, sio kila lazima kifanyike mashindano ila ni utaratibu tu umewekwa na lazima ufuatwe
Acha matusi kuwa na heshima
 
Acha matusi kuwa na heshima
“Nafikiri Utaratibu wa eneo la VVIP uliwekwa mapema.. Nani anatazamiwa akakae wapi na kwa Taratibu zipi!

Kadi zilikuwa na majina ya wahusika na ikaelezwa kabisa [Siku moja kabla] NI MARUFUKU MTU KUTUMIA KADI YA MTU

Kadi za VVIP pia zikasema kuwa WATOTO HAWARUHUSIWI eneo Lile..

Kama hizi Taratibu zilizungumzwa na kukubalika pamoja, kwanini iwe Tatizo kwenye Utekelezaji?

Kama kulikuwa na changamoto yoyote kwenye makubaliano, yalitakiwa kuwasilishwa mapema kabla ya siku ya mchezo!

Wachezaji kiwanjani wametuonyesha Thamani ya FAIR PLAY kwenye soka!

Tazama namna wachezaji baada game kuisha walivyokuwa wanafuraha wenyewe kwa wenyewe na hiyo inadhihirisha mchezo wa mpira ni mchezo wa kiungwana

Lakini nje ya uwanja, 'watu wachache' kwa 'sababu zao binafsi' wanataka kutuonyesha kuwa hakuna UUNGWANA kwenye Soka letu

Hii sio Sawa” ..
 
Umeandika kwa hasira na chuki mno,ndio kawaida ya watu maskini ambao mmekosa kila kitu maishani pole sana
Ndio matatizo yetu watanzania inapokuja kwenye Yanga na Simba watu akili huwaruka kabisa.huyu Dada watu wanamchukia kwa kusimamia haki lile swala la kuondolewa mabango ya Gsm limewavua nguo wahusika na sasa wameamua kumuattack.wanasahau siyeye tu ni akili kubwa ya uongozi wa Simba.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom