Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Caf na wadhamini wa ligi za ndani wapi na wapi,?Simba ni kubwa kuliko TFF,waulize jana walivyobandua matangazo ya GSM , uzuri Simba wako smart na kila kitu wanafanya kwa kusimamia sheria,huo mkataba wa GSM isije ikatokea tu TFF wakapewa za uso na CAF
Ile barua feki ya jana mmeingizwa chaka š¤£