Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

Umeandika kwa hasira na chuki mno,ndio kawaida ya watu maskini ambao mmekosa kila kitu maishani pole sana
naona kabwela mlamba miguu wa wahindi kama wewe unaniita maskini.

Naweza nikamuoa hata mama yako na mkeo ili upate mtaji mamayoo zako
 
Kwahyo kulazimisha kufanya kitu ambacho taratibu zimekataza ni akili kubwa

Kweli nimeamini ukishikamana na Wahindi halafu ww ni ngozi nyeusi lazima uwe zezeta tu

Pelekeni Uzezeta wenu wa kihindi huko kwenye timu yenu ya ukoo
 
Viti vipo kimaesabu kila mtu kiti chake kimeandikwa jina lake ilibidi huyo demu akawatafutiie sehemu ya kukaa ndugu zake na yeye kwa nini aende kubeba ndugu zake kule india ata Mama Samia Suluhu hakumbeba mumewe kwenda kukaa nae kwenye viti vya VVIP
 
Umeambiwa ile sehemu ni ya maofisa tu kwahiyo hata kama timu ya familia ndo uje na vitukuu? Kwani ungempa Masau Bwire hao watoto akae nao VIP B wasingeona mpira? tuwe tunatofautisha watu waandamizi na hizo tickets
 
😂😂😂 Makolo tufautisheni Simba Day na Mwananchi Day na mechi ya ligi kama mnaingiaga na watoto wenu VVIP kwenye matamasha sawa ila sio kwenye mechi iliyo chini ya shirikisho na bodi ya ligi tena tiketi ya VVIP inajieleza. Tatizo lenu makolo mna tabia ya kusapoti upuuzi wa viongozi wenu hata kipindi kile Manara yupo kwenu akiboronga mkawa mnamtetea tena kitu kilichonidhihirishia hilo siku anamdhalilisha mwandishi Prisca Kishamba makolo wote mlimtetea hakuna aliyekemea. Hii ndo hulka yenu kutetea upuuzi
 
naona kabwela mlamba miguu wa wahindi kama wewe unaniita maskini.

Naweza nikamuoa hata mama yako na mkeo ili upate mtaji mamayoo zako
Malofa uwa mnajua kujifariji sana,kwa uandishi huu unaonyesha moja kwa moja huna maisha huna elimu,huna exposure,pole sana
 
😂😂😂 Makolo tufautisheni Simba Day na Mwananchi Day na mechi ya ligi kama mnaingiaga na watoto wenu VVIP kwenye matamasha sawa ila sio kwenye mechi iliyo chini ya shirikisho na bodi ya ligi tena tiketi ya VVIP inajieleza. Tatizo lenu makolo mna tabia ya kusapoti upuuzi wa viongozi wenu hata kipindi kile Manara yupo kwenu akiboronga mkawa mnamtetea tena kitu kilichonidhihirishia hilo siku anamdhalilisha mwandishi Prisca Kishamba makolo wote mlimtetea hakuna aliyekemea. Hii ndo hulka yenu kutetea upuuzi
Ndio maana ya nguvu moja..... Tunakutetea hadharani tunakukemea sirini....
 
Ulijuaje ni wa nje wa ndoa, kwanini unakosa adabu kiasi hicho, unaleta mambo ya familia tena kwa kejeli na matusi kwa mtu ambaye humjui na wala yeye hajui kama una exist..na wewe tukikuita mtoto wa changudoa utafurahia
ukweli ndio huo.
Mbona yeye analeta ugomvi wake na GSM kwenye soka na mashabiki mpaka bodi ya ligi?
 
Malofa uwa mnajua kujifariji sana,kwa uandishi huu unaonyesha moja kwa moja huna maisha huna elimu,huna exposure,pole sana
Kiufupi huna cha kufanya uwe sawa na mimi.
Niko tayari kulipa pesa kwa wazazi wako nikuoe ili nikufariji kidogo usife kwenye umaskini, maana huna hata Christmas mbili mjini..

Kulamba miguu ya wahindi ndio exposure kwako basi haifai kwangu..
 
Safi Sana Tff,hata Mimi nilishawahi kata VIP B nilienda kwa mbwembwe zote taifa,nilichokuta pale ni viti vyote vimejaa! Kwenye viti watu wameweka watoto wao!not Ukweli nilichukia elfu 35,000 niliyotoa kisha nikaenda kusimama kwenye ngazi!?

Kadi ni ya mtu mmoja, kwa nini abebe na familia? TFF angalieni pia na majukwaa mengine.
 
Mapumbu yanawasha kweli au ni ile droo ya jana inawachanganya akili, sasa mama j sikiliza nikuambie kama gsm anataka kuiweka tff mfukoni,, basi na sisi tutaiweka mfukoni, tuone nani sasa ana msuli,
Aya sawa
 
IMG_20211211_235214.jpg
 
Mbumbumbu ni wale walioaminishwa watashinda kesi CAS.... Na hili pia mtaumbuka maana Tifuatifua wataomba msamaha kabla jogoo hajawika baada ya saa 72
Labda ulikuwa bado hujawa mpz wa simba kuna mwaka mliaminishwa ubingwa wenu upo FIFA natumaini ulikuwa bado hujafika mjini wakati huo.
 
“Hatupendi kuonewa. Tunataka kujua kwanini CEO wetu amezuiwa. Hatuwezi kuvumilia mambo ya kipumbavu kama hayo. Simba SC ni kubwa hao wanaotaka kuwapa ubingwa wakawape huo ubingwa chumbani” Patachimbika Murtaza Mangungu- M/Kiti wa Simba SC
 
Safi Sana Tff,hata Mimi nilishawahi kata VIP B nilienda kwa mbwembwe zote taifa,nilichokuta pale ni viti vyote vimejaa! Kwenye viti watu wameweka watoto wao!not Ukweli nilichukia elfu 35,000 niliyotoa kisha nikaenda kusimama kwenye ngazi!?

Kadi ni ya mtu mmoja, kwa nini abebe na familia? TFF angalieni pia na majukwaa mengine.
Zamani hali hii ilikuwepo kwenye boti za Bakhressa zilizokuwa zinafanya safari ya kwenda Pemba. Ukiwa wa mwisho mwisho kuingia kama sio First class unakuta viti vimejaa vyengine vimewekwa watoto wadogo ambao hawana hata tiketi. Inabidi ukakae kwenye ngazi huko.
 
Kwa Hizi hasira zako, Tik Tak ya Spanyola itakuwa imekuvuruga.

Jamaa kinywa chake kimejaa matusi siku zote,nahisi hata nyumbani kwake wanapata taabu sana,yani lugha ya staha hana wala usidhani ni leo tu.
 
Back
Top Bottom