Huu muongozo TFF walishautoa kitambo kuwa idadi ya siti ndio watu watakaopewa kadi na tff ilishasema kuwa viongozi ndio wanaongoza kuvunja utaratibu kuja wengi wakati kadi inataka mtu mmoja tu
Simba ni kubwa kuliko TFF,waulize jana walivyobandua matangazo ya GSM , uzuri Simba wako smart na kila kitu wanafanya kwa kusimamia sheria,huo mkataba wa GSM isije ikatokea tu TFF wakapewa za uso na CAF
mbona Simba mwaka juzi na Jana kimataifa walikuwa wanatangaza wenyewe,ukinunua unapata hadi usafiri kutoka Serena na unashiriki hadi dinner na wachezaji