Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na familia yake na kurudi nyumbani.,..katika hali ya kushangaza mara baada ya mechi kuisha tu TFF wakataoa waraka huku wakimlalamikia CEO kw utovu wa nidhamu pamoja na viongozi wa Club ya Simba...Maswali machache ya kujiuliza kuhusu wa TIFUTIFU yetu inayoongozwa na msomali aliyeloea Tanzania
1. Hivi angekuwa waziri wa habari wa michezo amekuja na wanafamilia hao naye angefurumishwa na watoto wake?
2.TIFUTIFU ,mlitaka hao watoto wakakae wapi tofauti na mtu mzima aliyekuja nao tena wakiwa na VVP gate pases?
3.Hivi nani alikuwa mwenyeji wa mchezo wa leo ni TIFUTIFU au Simba? hivi nani anatakiwa kusimamia nani aingie uwanjani nani asiingie?
4.Nini kilichopelekea TIFUTIFU kuvunja rekodi ya kutoa tamko wakati mchezo bado unaendelea jambo ambalo halikuwahi tokea? kawaida yenu matamko yenu huja baada ya siku mbili tatu! nani kawatuma?
5.. Rais wa TIFU TIFU unasubiri kutumbuliwa kwa tukio hili la aibu? kwa nini usijiudhuru mapema saana...na kurudi kwenu somalia?