Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Tanganyika ( Tanzania )
Sultan land ( Zanzibar )

Tanganyika + sultan land = Tanzania ya viwanda.
[emoji23] [emoji1] [emoji119]

Fiji island + Tanganyika = Fijinyika land.

Tanzania - Tanzanian
Fiji - Fijinese
Zanzibar - zanzibarian
Pemba - pembanese.
[emoji51] [emoji16] [emoji111]
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Wamezaliana na wahindi, ila bado capo wanaofanana na sisi kabisa(wa Tz)
 
Yaaa, mimi nilikaa visiwa vya Fiji from 2001 to 2008,kuna eneo linaitwa ABHACHU, yaani lugha yao ni KIHA, ila Wazungu wanawabagua sana, nilirudi bongo kwa kazi maalum. Ikiwa ni pamoja na shule.
Tupe ushuhuda zaidi
 
Sasa kwa nini wakomae kusema asili yao ni Africa?
Nani kakomaa mkuu,hizo ni stori za mitandaooni sio stori zote ni za kweli,Hawa watu ni wapolonesia,watu kama hawa wanapatikina takribani visiwa vyote vya bahari ya hindi upande wa Australia...kuanzia New zaland,Hawai,Tango,Fiji,Papua New Guinea,Phiilipines,Indonesia nk,...

Hizi nchi watu wake wa asilia ni watu wenye ngozi nyeusi kama waafrika lakini sio waafrika,watu wenye ngozi rangi nyeupe ni wahamiaji wa miaka millioni nyingi zilizopita..

Kama hili jambo utalichukulia kisayansi,wanasayansi wana "theory" yao ya "Great human immigration"..yaani uhamiaji mkubwa wa binaadamu wa mwanzo,"theory" inasema kuwa binaadamu wa mwanzo walitokea Afrika halafu wakanza kahama wakeelekea kaskazini,wengine waligeuka wakarudi afrika,wengeni waliendelea na safari..kuelekea kusikojulikana..

Hili jambo ukilichukulia kidini basi unaweza kufananisha na ile ya katika kitabu cha kiislam,katika Sura Al-hajri,sura 15 aya ya 26,...mungu anasema "Hakika tumemuumba binadamu katika udongo mweusi",...kwa wale waumini hii ni uthibitishi tosha kuwa binadamu wa mwanzo walikuwa watu wenye ngozi nyeusi ...

Mabaki ya bufuru la binadamu wa kale kabisa kuishi duniani pamoja na mabaki ya nyayo zake yanapatikana Tanzania sehemu inayoitwa Olduvai Gorge,....

Ukiangalia kwa makini watanzania ni watu wa mwanzo duniani lakini vile vile ni watu wa mwisho duniani,tafakari
 
Mara ya mwisho nilienda Fiji mwaka '98 na huko kuna ndugu zetu kabisa upande wa baba mkubwa, wapo huko na historia inaonesha baba wa babu mkubwa ndo alienda huko, ni watanzania pure!
Tuandalie stori kamili mkuu. Tupeane habari.
 
Aisee hao ni ndugu zetu kabisa. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom