Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

wakati wanafanya hivyo technology ilikuwa inawaruhusu ...so mimi siwezi kufnya hvyo kutokana na uwepo wa ukubwa wa technology iliyopo sasa ..ambayo nikiitumia kusafiri nitajikuta baada ya Massa kadhaa Nipo huko
umeambiwa ilo upunguze gharama hutaki tafuta 2000$auzaidi
 
Sasa kwanini mmoja anaitwa mhutu mwengine mtusi tafauti yao nini?
Jibu zuri tafuta hotuba ya Mwalimu Nyerere alipoongea juu ya hao ndugu miongoni mwa hotuba zake. Alitoa mfano wa kabila moja hapa nchini akifafanua juu ya "Walioza na Waziba". Mfano wake ulikuwa chanya juu ya kabila hilo.
 
Sisikilizi hotuba za Nyerere,Nyerere alikuwa tapeli,wewe kwani huna jibu,??!hawa jamaa watusi na wahutu wakiuana sana kipindi fulani,..matatizo yao hasa ni nini..
 
Sisikilizi hotuba za Nyerere,Nyerere alikuwa tapeli,wewe kwani huna jibu,??!hawa jamaa watusi na wahutu wakiuana sana kipindi fulani,..matatizo yao hasa ni nini..

Nikikujibu unaleta swali la nyongeza. Nilitaka upate jibu kwa njia nyingine. Maswali kama hayo huwezi kutegemea jibu la mtu mmoja bali wengi.

Tatizo kuu ni kabila moja kuwaona wengine wanyonge na wao ndio watawala. Mkoloni alipoondoka aliwaachia utawala Watusi ingawa sio wengi Rwanda kama walivyo Wahutu. Baadaye Wahutu (Wakulima) wakawapindua Watawala wa Kitusi (Wafugaji) na kutawala hadi 1994 ambapo utawala ukawarudia Watusi na wenzao Wahutu kwenda uhamishoni. Hawa huwaita wengine "jina limehifadhiwa" na wao wakiwaita wenzao "jina limehifadhiwa". Historia ya mahusiano yao imeleta hali hiyo. Sitaki kufafanua kuzusha mjadala mgumu, maana humu JF wamo wengi. Ili kuelewa hili rejea ugomvi kati ya Uingereza na Ireland Kaskazini wa muda mrefu (Waprotestanti na Wakatoliki); Uturuki na Uyunani juu ya Kipro ( yaani kati ya Wakipro wa Kiyunani na Wakipro wa Kituruki) ; Vita vya ndugu kati ya Wanaijeria wa Shirikisho na Wabiafra waliojitenga (Kitabu cha Wole Soyinka- " "The Brothers' War" kinaeleza vizuri mzozo wao).
 
Huo ni uongo sawa na ndoto ya mchana. Eti kuna MTO unaitwa rufiji ndio sababu ya visiwa vyama Fiji kuwa na wakazi wenye asili ya Tanganyika.
Hao raia wa Fiji ni mchanganyiko wa makabila ya Waaborijini toka Australia na makabila ya wahindi toka India Borneo, Sumatra, Indonesia, ambao ndio maarufu kwa kusafiri baharini kutafuta uvuvi na makazi. Hata lugha yao hao waFiji, ni mchanganyiko wa makabila hayo niliyoyataja.
 
Sumatra hii inayopanga nauli eti
 
slieleta thread hii anatakiwa atoe uhalisia wa kisiwa cha fiji na wakazi eake
 
hhata mimi nakumbuka marehem bibi kuzaa baba alikuwa na hiyo asili ya kisiwa cha fiji,muonekano wake kama hao wakazi wa fiji land
 
Mleta mada amesema walichanyika na wahindi kwa muda mrefu

Wa Philippine wamechanyika na wa Hispania

Goa ni mchanganyiko wa wahindi na wareno
Speakng of goa..ndio maana uku kwetu kuna wagoa sasa nashindwaga waelewa kama ni wahindi ama ni wa aina gani...sasa nmepata jibu kumbe ni mchanganyiko aisee
 
Back
Top Bottom