chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Kweli mkuu,mazingira ya Tanzania hakuna sehemu nyengine duniani,angalia mbuga za wanyama,angalia mlima kilimanjaro,angalia mito iliyoizunguka Tanzania,angalia mchanganyiko wa watu wenyewe muonekano tafauti,angalia rasilimali zilizoko kwenye Ardhi nyengine zinapatikana Tanzania tu!!,Gasi,uranium nkMimi naamini katika hili, ukiiangalia Tanzania na rasilimali zilizopo utafikiri Mungu wakati anaumba Dunia alikuwa Tanzania.
Bado nchi maskini ya ufukara,kuna sehemu nyengine hata watu hawana hata maji ya kunywa,aliegundua Tanzanite jwe la aina yake duniani,jiwe mablo linapatikana Tanzania tu huyu mtu masikini wa kutupwa.-