Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Mimi naamini katika hili, ukiiangalia Tanzania na rasilimali zilizopo utafikiri Mungu wakati anaumba Dunia alikuwa Tanzania.
Kweli mkuu,mazingira ya Tanzania hakuna sehemu nyengine duniani,angalia mbuga za wanyama,angalia mlima kilimanjaro,angalia mito iliyoizunguka Tanzania,angalia mchanganyiko wa watu wenyewe muonekano tafauti,angalia rasilimali zilizoko kwenye Ardhi nyengine zinapatikana Tanzania tu!!,Gasi,uranium nk

Bado nchi maskini ya ufukara,kuna sehemu nyengine hata watu hawana hata maji ya kunywa,aliegundua Tanzanite jwe la aina yake duniani,jiwe mablo linapatikana Tanzania tu huyu mtu masikini wa kutupwa.-
 
Wakuu dua zenu, nipo safarini naelekea FIJI kusaka ndugu zangu maana duuh Bongo Bahati Mbaya.
Lol
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Wao na wale wa Madagascar wanaitwa 'Afroindians'. Ni hybrid ya waafrika na wahindi.
 
Nakumbuka kale kamchezo ka atlas uko shule ya msingi,hii sehemu nilikuwa sikoseagi
Hahaha,

Kuna sehemu inaitwa Novaya Zemlya, na nyingine Kamchatka.

Mpaka leo nazikumbuka nilikuwa nawabana sana.
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Babu wa babu zao.....
 
Guys hawa jamaa wa Fiji wanailewa Tanzania pengine hata kuliko mimi. Hii website yao inaitwa fijibure.com inayoelezea maeneo ya Fiji hadi vijiji vyake majina yote ya vijiji ni ya kibantu, kunakijiji kinaitwa maumau. Wameidokument Tanganyika late Tanzania kuanzia karine ya kwanza hadi hadi uongozi wa mkapa matukio muhim.

Baada ya kuisoma vizuri nakubali kabsa hawa ni wa tz



Chronological History of Tanganyika (Tanzania)
 
Vipi kuhusu lugha yao ina maneno japo mawili matatu ya kimatumbi au wana lugha yao tofauti..
 
TANZANIA NCHI YETU

NASIKIA HATA NCHI YA AHADI AMBAYO INAZUNGMZWA KWENYE BIBLIA AMBAYO MUSA ALIKUWA ANAWAPELEKA WAISRAEL NI TANGANYIKA

maana waliaambiwa mtapelekwa nchi yenye maziwa na asali TABORA

kitabu kinaeleza kuhusu sodoma na gomora TANGA
nk nk so waisrael ni watanganyika ahahanh

Ngoja niendelee kuvuta cha Malawi hapa
 
Back
Top Bottom