Hawako shindano 1, usijisahaulishe? Alikokua simba, yanga alifurushwaaa na Al Hilal, hata makundi hajanusa, ndo akaangukia kwa losers.Tutaona robo fainali ndiyo kipimo cha wote Simba na Yanga. Hapa ndiyo kipimo sahihi kwa wote wawili.
Wiki iliyopita kuna uzi tulikuwa tunajadili hii mechi, nikasema Yanga watakuwa na mechi rahisi zaidi nikitumia kigezo kuwa Monastir wameshavuka. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, wewe ulikuwa mmoja wa watu uliyenipinga kwa kusema watakuja kupambania nafasi ya kwanza.Ukiachana na zile set piece zao kule Tunisia, ni kipi walichoizidi Yanga katika mchezo wa kawaida kwenye ile mechi ya kwanza? Kilichofanyika jana ni Yanga kuwa makini na mipira yote ya set pieces hawakuwa na namna tena.
Makolokolo ndiyo mliwashwa washwa na YANGA FC, kufungwa afungwe Horoya, afu muhusishe Yanga FC kuwa wanaumia na ushindi wenu.Simba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,
Leo mmegeuziwa nyie mnapanick, vipi kwemaaaaa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una kombe gani kwenye hilo shindano no 1 kama si kujitekenya na kucheka mwenyewe?Hawako shindano 1, usijisahaulishe? Alikokua simba, yanga alifurushwaaa na Al Hilal, hata makundi hajanusa, ndo akaangukia kwa losers.
Kuwa specific wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1. Job-1 WACHEZAJI WA MONASTRIENE 6,WA KIKOSI CHA KWANZA WALIANZIA BENCHI.
2.JAMAA HAWAKUPIGA HATA ON TARGET MOJA.
3.RAIS WA MONASRTIENE AHMED BELLI,AWAPONGEZA YANGA KUFUZU ROBO.
4.MONASTRIENNE WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO NA SINGIDAA BIG STARS(na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza yanga)
N.b jibu baki nalo mwenyewe.
Jumamosi vipiHilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.
Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
Huyo ni mwanasimba mwenzio ujueSimba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,
Leo mmegeuziwa nyie mnapanick, vipi kwemaaaaa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una mawazo mgando kweli au unasumbuliwa na ushabiki maandazi. Hivyo tamaa yako ni kuona timu usioishabikia inafungwa.-1 WACHEZAJI WA MONASTRIENE 6,WA KIKOSI CHA KWANZA WALIANZIA BENCHI.
2.JAMAA HAWAKUPIGA HATA ON TARGET MOJA.
3.RAIS WA MONASRTIENE AHMED BELLI,AWAPONGEZA YANGA KUFUZU ROBO.
4.MONASTRIENNE WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO NA SINGIDAA BIG STARS(na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza yanga)
N.b jibu baki nalo mwenyewe.
Hii kesi ingekuwa kwenye mikono ya FBI, mtuhumiwa angedakwa usiku huu huu.Uzi ufungwe , Kesi imeisha hii
Mie Mwenyewe nimeshangaa ...
Mkataba Waingie Na Singida..Kusifiwa Asifiwe Yanga..Wapi Na Wapi.?
Lakini ni mashindano mawili tofauti. Moja anatafutwa bingwa wa ligi, lingine anatafutwa bingwa wa kombe. Simba na Yanga hawapo katika shindano linalowaweka pamojaTutaona robo fainali ndiyo kipimo cha wote Simba na Yanga. Hapa ndiyo kipimo sahihi kwa wote wawili.
Uzuri mnajimaliza wenyewe,mimi wala sijasema kituIfike wakati tujifunze kukubali mwenzako anapofanya vizuri sio kujitafutiza visababu vya kipuuzi na kuja kuaibika mwenyewe. Kwan wao wakina nani kwamba kila mechi wapate on target, wao hawafungwi?
Wakati mwingine mjifunze kuficha ujinga wenu
Halafu mimi sijasema ngaya katoa rushwa,wao wamejiongeza wenyewe tuSimba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,
Leo mmegeuziwa nyie mnapanick, vipi kwemaaaaa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa tajiri,ila sijataja rushwa hapoNdio kazi ya hela.
Team zina hela mpaka kutoa bahasha kwa Waarabu ,ni hatua nzuri tumefika kwa sasa ni jambo la kupongezwa.
Endelea kushangaa..ndio matumiz ya pesa hapa Dunia.
Maskini endelea kulia lia.
Umewafwatilia kwenye mechi ngapi mpaka ukaona hawana Nia ya ushindi?Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.
Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.