Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Mkuu hebu nijibu hili swali,unahisi kwanini kwenye press ya kuingia mkataba kati ya sbs na usm anapongezwa yanga kwa kwenda robo???ukijibu ntakuwa kweli na mawazo mgando.
 
Kuna watu wanawaza ujinga ujinga tu kila wakati. Unajua ukubwa wa mashindano haya? Je wajua makocha na wachezaji wanaoenda vilabu vikubwa hupatikana kwenye mashindano kama haya. Unawaza bahasha unafikiri hiyo ni ndondo cup. You must be very stupid
 
And you must be very clever,ila ukinionesha nliposema kuna rushwa hapo
 
Una kombe gani kwenye hilo shindano no 1 kama si kujitekenya na kucheka mwenyewe?

Makolokolo = Wasindikizaji bora wa CAF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hata kusindikiza makundi umeshindwa, Al hilal akasema wee utopoloo nenda kule kwa losers ndo level yakoo, huku tuache wakubwa na wakali wa hili shindanoooo.

Wee hata huko losers Una kombe gani?? CL sigusi kabisaa maana utaharaaa buree na hakuna pants, uwiiiiih
 
Makolokolo ndiyo mliwashwa washwa na YANGA FC, kufungwa afungwe Horoya, afu muhusishe Yanga FC kuwa wanaumia na ushindi wenu.

Hadi hapo ulitegemea nini haswa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relaaaaaaaaaxxxxx shoustieee, hizi kelele vipi tenaaaa?? Si kila mtu ashinde match zakeee??

Poleeeeeeeeh.
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Manyaunyau/Madunduka/Makelele/Malalamiko/Mikia/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FC kwenye ubora wako [emoji38]
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Manyaunyau/Madunduka/Makelele/Malalamiko/Mikia/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FC kwenye ubora wako [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikaa penyeweeeee eeeeeh, haya kitulizee sasa, watu weuweeeeeeeeeeeh.
 
Mleta mada ana hoja nzito yenye mashiko na anastahili kusikilizwa.

Ushahidi upo wa kimazingira kuwa Monastir ameuza game. SBS ana ushirikiano wa karibu na Yanga ambao sihitaji kuuelezea (ingawa najua hata hilo unaweza kubisha), halafu anaingia mkataba na Monastir, timu ambayo haina historia yoyote yale ya mafanikio katika soka, na mkataba unaingiwa katika kipindi ambacho inaenda kucheza mechi muhimu na Yanga? Halafu Monastir wanapiga shot moja tu kuelekea golini kwa Yanga, hawapati shot on target hata moja, wanaweka nusu ya kikosi chao cha kwanza benchi.....unataka niendelee maana kuna vitu niliviona kwenye game nikajua hakuna game ya ushindani hapa.

Nimetoka kumuuliza mwenzio, mnadhani mnashabikia timu ya malaika na watakatifu?
 
Hii timu uloitaja wewe haikucheza na yanga iliocheza na yanga inaitwa Monastirienne na wao wamepigwa vizuri na wamekubali mapigo... Timu yako wewe timu ya wapi mkuu, kwanza point yako ya tatu na point ya nne timu zimetofautiana majina, tunawezaje kucheza na timu mbili tofauti kwa wakati mmoja alafu hizo timu ziwe hazipo hapa duniani? tunasindwa kuelewa sababu majina uloweka ni mawilli tofauti na hayo majina sio majina ya timu ilocheza na yanga, Tafuta jingine mkuu
 
Kashindwa kuandika jina la timu hoja hapo inatoka wapi? Hii timu gani anazungumzia sisi tumecheza na Monastirienne sio hizo timu mbili alizozitaja yeye... Hatuzijui hizo timu
 
Kuna watu wanawaza ujinga ujinga tu kila wakati. Unajua ukubwa wa mashindano haya? Je wajua makocha na wachezaji wanaoenda vilabu vikubwa hupatikana kwenye mashindano kama haya. Unawaza bahasha unafikiri hiyo ni ndondo cup. You must be very stupid
Absolutely, i am amused..
 
Pumba
 
Sawa mkuu wewe umeandika point ila umeshindwa kuandika Monastirienne its ridiculous.... Alafu mpira wa kimataifa hauna mambo ya kiswahili... Kama mpira ni kununua match basi simba ndio wanaongoza kwa kutuuzia match manake tumewagonga mara nyingi kuliko hata hao Monastirienne...
 
Mi sjasema yanga kanunua mechi,au nmesema mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…