Jibu baki nalo yenyeweSasa mkuu,kwani mi nimesema uongo hata kitu kimoja hapo???mi nmeleta facts zangu kila mtu ajadili afu jibu abaki nalo,na ww jiulize kwenye press ya mkataba wa USM NA SBS anasifiwa yanga kwenda robo final,mi skuelewa ndo mana nikaleta hoja wala sijasema kitu kingine,nashangaa wakuu wanasema nimesema ngaya katoa bahasha,wapi nimesema hivyo jamani??[emoji1787][emoji1787]
Tatizo kubwa linalowakumba baadhi ya mashabiki wa simba ni kutoamini kama Yanga wana kikosi bora kwa sasa ukilinganisha na misimu kadhaa iliyopita.Swali haujanibu. First eleven yao iliizidi nini Yanga kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ukiachana na mipira yao set pieces?
Yetu masikioYetu macho......View attachment 2560081
Unataka kusema nini kolo?1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Umeona ulivyokuwa unakosa uelewa wa mpira, sasa wewe kuongea "kusingekuwa hivi ingekuwa hivi" umeona katika angle ya Yanga pekee kuwa sio sahihi. Hiyo angle mnayoongelea nyie ya kutokuwa wachezaji kadhaa Yanga isingeshinda unaiona ni sahihi. Kumbe napoteza nguvu zangu bure kwa kumuelekeza asiyejua mpira.Kuhusu kuongoza group, kuna mwenzio alianzisha uzi akijisifu Yanga anaongoza group nikamwambia bado game za mwisho, kuna vitu walijibu hapo nikaachana nao nikajua sidili na watu wenye uelewa wa mambo. Monastir anaenda kuongoza hili group baada ya Game 6 unless......
Unapoongelea Game 1 na kuongelea magoli ya Monastir, hauzungumzi kama mtu wa mpira. Hauwezi kusema "isingekuwa hivi wasingepata goli", kwani magoli kwenye mpira yanapatikanaje, si magoli yote yanatokana na makosa ya timu pinzani? [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kwamba jamaa hawakupiga on target..yaani diara hakudaka hata Maro mojaHuo ndo ukweli,fanya utafiti utapata majibu
Mkuu nakusisitiza ubishi wako kwenye hili hautakufikisha popote. Unataka kulinganisha uzito wa mechi ya kwanza dhidi yenu na mechi waliyocheza dhidi ya Bamako? Unadhani kati ya mechi hizo mbili, huku wakijua mmemtoa ndugu zao kwao, ipi watapanga kikosi bora zaidi? Kuwa serious basi.Kikosi kilichocheza na Tp Mazembe hiki hapa, ndio kikosi hicho hicho kilichocheza dhidi ya Yanga kwa Mkapa.
View attachment 2560254TP Mazembe v US Monastir | 26 February 2023 | Goal.com English Kuwait
Latest news, stats and live commentary for the CAF Confederations Cup's meeting between TP Mazembe v US Monastir on the 26 February 2023www.goal.com
Ujinga kwel mzigoKalala Mayele anaongea na mkongo mwenzake Inonga anampa posho asimkabe sana..
Unakumbuka ile mechi alikabwa mpaka akatolewa sub. Baada ya pale ndio akaanza michezo ya kuongea na mkongo mwinzie awe anamwachia..
Wewe unaongelea isingekuwa makosa mawili yale magoli yasingepatikana, hiyo sentensi inaonyesha wewe siyo mtu wa mpira au labda unaendeshwa zaidi na hisia. Magoli mliyofungwa ni ya kawaida kabisa katika mpira, scenarios unazojenga hazina mshiko. Isitoshe, mlishindwa kufunga goli pamoja na mpira mwingi unaosema mlicheza.Umeona ulivyokuwa unakosa uelewa wa mpira, sasa wewe kuongea "kusingekuwa hivi ingekuwa hivi" umeona katika angle ya Yanga pekee kuwa sio sahihi. Hiyo angle mnayoongelea nyie ya kutokuwa wachezaji kadhaa Yanga isingeshinda unaiona ni sahihi. Kumbe napoteza nguvu zangu bure kwa kumuelekeza asiyejua mpira.
Endeleeni kuwa na gubu hivyo hivyo kila Yanga anaposhinda endeleeni kutafuta sababu ya kushinda. Kwenye ligi kuu ni bahasha. Alipofungwa Bamako na Tp Mazembe ikaonekana ni wabovu. Ila ilipofungwa Monastir mnakuja na mambo ya ngeli. Kwamba angekuwepo....... Wasinge....... Wakati hapo hapo hizo ngeli umezikataa katika set pieces. Kama swala ni wachezaji basi anzeni kuanzisha uzi kuhusu timu yenu mjadii wachezaji watatu muhimu wa Horoya akiwepo kipa na kocha wake mkuu kutokuwepo kwenye mechi yenu ndio iliyowapa ushindi. Mnatafuta sababu ya ushindi wa Yanga na huku mnaacha kutafuta sababu ya ushindi wenu kwa kutumia factor hiyo hiyo ya kukosekana kwa wachezaji wa muhimu. Huo sio uanamichezo huo unaitwa ni mahaba ya timu.Mkuu nakusisitiza ubishi wako kwenye hili hautakufikisha popote. Unataka kulinganisha uzito wa mechi ya kwanza dhidi yenu na mechi waliyocheza dhidi ya Bamako? Unadhani kati ya mechi hizo mbili, huku wakijua mmemtoa ndugu zao kwao, ipi watapanga kikosi bora zaidi? Kuwa serious basi.
Wakati wanaenda kucheza na Bamako, tayari Bamako walikuwa wamepigwa 3 na Mazembe na walipata nafasi ya kureview mechi.
Hiki hapa kikosi cha Monastir vs Mazembe kinafanana sana na kikosi walichocheza na nyie mechi ya kwanza ukiacha nadhani mchezaji mmoja. Hiki ndiyo first 11 kubali kataa.
View attachment 2560306
Sasa unakataa nini we Mtusi muuaji?Ujinga kwel mzigo
🤣😂🤣 Ila hilo la SBS limenishtua kidogo. I guess ndiyo mpira wa Africa, sasa tutafanyaje? Au wewe unaonaje?Endeleeni kuwa na gubu hivyo hivyo kila Yanga anaposhinda endeleeni kutafuta sababu ya kushinda. Kwenye ligi kuu ni bahasha. Alipofungwa Bamako na Tp Mazembe ikaonekana ni wabovu. Ila ilipofungwa Monastir mnakuja na mambo ya ngeli. Kwamba angekuwepo....... Wasinge....... Wakati hapo hapo hizo ngeli umezikataa katika set pieces. Kama swala ni wachezaji basi anzeni kuanzisha uzi kuhusu timu yenu mjadii wachezaji watatu muhimu wa Horoya akiwepo kipa na kocha wake mkuu kutokuwepo kwenye mechi yetu ndio iliyowapa ushindi. Mnatafuta sababu ya ushindi wa Yanga na huku mnaacha kutafuta sababu ya ushindi wenu kwa kutumia factor hiyo hiyo ya kukosekana kwa wachezaji wa muhimu. Huo sio uanamichezo huo unaitwa ni mahaba ya timu.
Nan alikwambia watutsi wauaji?Sasa unakataa nini we Mtusi muuaji?
Inakuuma roho,aahahaah1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
We ndiyo umeandika pointTutaona robo fainali ndiyo kipimo cha wote Simba na Yanga. Hapa ndiyo kipimo sahihi kwa wote wawili.
AahahaaaMakolo huwa mnapewa sh ngap mnapokitana na KALALA MAYELE?
Kutoka kwenye hoja ya wachezaji muhimu hadi kuhamisha magoli kwenye SBS. Haya tuje kwenye hiyo hoja yako je mkataba waliosaini SBS na Monastir unaihuau Yanga?[emoji1787][emoji23][emoji1787] Ila hilo la SBS limenishtua kidogo. I guess ndiyo mpira wa Africa, sasa tutafanyaje? Au wewe unaonaje?