Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Kutoka kwenye hoja ya wachezaji muhimu hadi kuhamisha magoli kwenye SBS. Haya tuje kwenye hiyo hoja yako je mkataba waliosaini SBS na Monastir unaihuau Yanga?
Hilo wa wachezaji muhimu mbona tumelimaliza. Baada ya kukushinda umebaki kulialia tu 🤣😂🤣 Hilo la set pieces kabisa nimekugaragaza 🤣😂🤣

Nakupa chance ujiongezee pointi kidogo kama bado una msuli ila huu mpambano wala siyo fea 🤣🤣😂 Pambana mwamba, katiba yenu inawataka mbishane hadi tone la mwisho 🤣😂🤣
 
Yanga wako bora sana, acheni ushabiki wa kishamba. Ni vizuri tujifunze kukubali ukweli vinginevyo ni kijitafutia maumivu pasi na sababu.
 
1.ungeorodhesha hao wachezaji 6 tuwajue ili tuone kiufundi kwanini wachezaji hao walianzia benchi

2.kwa beki zile za yanga na pira lile la timu nzima na approach ya waarabu kukaa nyuma zaidi kuliko kushambulia unawezaje kupiga shuti kulenga goli

3.rais asiwapongeze yanga ambao ndo walioingia robo fainali ulitaka awapongeze nani?...ihefu,gwambina,bamako au tp mazembe?

4.waarab wameingia mkataba na singida,kama singida waliomba hilo jambo kwa waarab ulitaka waarab wawakatalie singida halafu wao ndo watafute timu waombe hilo jambo

NB:Na wewe jibu baki nalo mwenyewe kama ni rahisi.
 
 
Hakuna kitu kibaya kama kupatwa na mtindio wa ubongo na taahira ya akili! Jitu na bichwa lake linapost thread ya uzuzu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee, sio kila siku ni alhamc, kuna j4.
Mxxxxiiiieeeeeww
Yan ungekua karibu ningeku.. bumbaaav wewe unamfyonza kaka ako wewe
 
Kumbe ndio lengo lako unageuza hapa sehemu ya ligi ya kubishana. Haya endelea kubishana na wengine tufanye umenishinda sawa.
 
Mchambuzi was mchongo
 
Mwigulu amepunguza kidogo hazina akaongea na waarabu nao wakamuachia coz wanajua watashinda game yao ya mwisho.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga .... Ila imenichekesha na kunifikirisha sana.... kama kuna ukweli wowote katika hili
 
Hakuna kitu kibaya kama kupatwa na mtindio wa ubongo na taahira ya akili! Jitu na bichwa lake linapost thread ya uzuzu!
Na ww jitu zima ila zuzu unacomment kwenye uzo wa kizuzu
 
Mimi ni shabiki wa Yanga .... Ila imenichekesha na kunifikirisha sana.... kama kuna ukweli wowote katika hili
Ni ukweli waulize yanga wenyewe watakwambia,mi nmehoji tu ila nashangaa watu wanatukana mijitusi hapa..tena mkataba wameingia jana .
 
Bado game 3 Yanga atawazwe rasmi kuwa bingwa wa Nbc na kwenye hizo Game tatu simba yupo pia

Kama simba ni bora kuliko Yanga tunaomba simba amzue yanga asitangaze ubingwa mbele yake
 
Bado game 3 Yanga atawazwe rasmi kuwa bingwa wa Nbc na kwenye hizo Game tatu simba yupo pia

Kama simba ni bora kuliko Yanga tunaomba simba amzue yanga asitangaze ubingwa mbele yake
Huwa mnasogeza goal post kila siku. Simba wakifanikiwa hili, mnasogeza tena. Tumeshawazoea.
 
Moja ya kua smart kichwani kama ujiitavyo ni kujiepushia aibu ndogo ndogo km hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…