Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Kutoka kwenye hoja ya wachezaji muhimu hadi kuhamisha magoli kwenye SBS. Haya tuje kwenye hiyo hoja yako je mkataba waliosaini SBS na Monastir unaihuau Yanga?
Hilo wa wachezaji muhimu mbona tumelimaliza. Baada ya kukushinda umebaki kulialia tu 🤣😂🤣 Hilo la set pieces kabisa nimekugaragaza 🤣😂🤣

Nakupa chance ujiongezee pointi kidogo kama bado una msuli ila huu mpambano wala siyo fea 🤣🤣😂 Pambana mwamba, katiba yenu inawataka mbishane hadi tone la mwisho 🤣😂🤣
 
Yanga wako bora sana, acheni ushabiki wa kishamba. Ni vizuri tujifunze kukubali ukweli vinginevyo ni kijitafutia maumivu pasi na sababu.
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
1.ungeorodhesha hao wachezaji 6 tuwajue ili tuone kiufundi kwanini wachezaji hao walianzia benchi

2.kwa beki zile za yanga na pira lile la timu nzima na approach ya waarabu kukaa nyuma zaidi kuliko kushambulia unawezaje kupiga shuti kulenga goli

3.rais asiwapongeze yanga ambao ndo walioingia robo fainali ulitaka awapongeze nani?...ihefu,gwambina,bamako au tp mazembe?

4.waarab wameingia mkataba na singida,kama singida waliomba hilo jambo kwa waarab ulitaka waarab wawakatalie singida halafu wao ndo watafute timu waombe hilo jambo

NB:Na wewe jibu baki nalo mwenyewe kama ni rahisi.
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Screenshot_20230321-144923~2.png
 
Hakuna kitu kibaya kama kupatwa na mtindio wa ubongo na taahira ya akili! Jitu na bichwa lake linapost thread ya uzuzu!
 
Hilo wa wachezaji muhimu mbona tumelimaliza. Baada ya kukushinda umebaki kulialia tu [emoji1787][emoji23][emoji1787] Hilo la set pieces kabisa nimekugaragaza [emoji1787][emoji23][emoji1787]

Nakupa chance ujiongezee pointi kidogo kama bado una msuli ila huu mpambano wala siyo fea [emoji1787][emoji1787][emoji23] Pambana mwamba, katiba yenu inawataka mbishane hadi tone la mwisho [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kumbe ndio lengo lako unageuza hapa sehemu ya ligi ya kubishana. Haya endelea kubishana na wengine tufanye umenishinda sawa.
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Mchambuzi was mchongo
 
Mwigulu amepunguza kidogo hazina akaongea na waarabu nao wakamuachia coz wanajua watashinda game yao ya mwisho.
 
Mimi ni shabiki wa Yanga .... Ila imenichekesha na kunifikirisha sana.... kama kuna ukweli wowote katika hili
 
Hakuna kitu kibaya kama kupatwa na mtindio wa ubongo na taahira ya akili! Jitu na bichwa lake linapost thread ya uzuzu!
Na ww jitu zima ila zuzu unacomment kwenye uzo wa kizuzu
 
Mimi ni shabiki wa Yanga .... Ila imenichekesha na kunifikirisha sana.... kama kuna ukweli wowote katika hili
Ni ukweli waulize yanga wenyewe watakwambia,mi nmehoji tu ila nashangaa watu wanatukana mijitusi hapa..tena mkataba wameingia jana .
 
Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.

Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
Bado game 3 Yanga atawazwe rasmi kuwa bingwa wa Nbc na kwenye hizo Game tatu simba yupo pia

Kama simba ni bora kuliko Yanga tunaomba simba amzue yanga asitangaze ubingwa mbele yake
 
Bado game 3 Yanga atawazwe rasmi kuwa bingwa wa Nbc na kwenye hizo Game tatu simba yupo pia

Kama simba ni bora kuliko Yanga tunaomba simba amzue yanga asitangaze ubingwa mbele yake
Huwa mnasogeza goal post kila siku. Simba wakifanikiwa hili, mnasogeza tena. Tumeshawazoea.
 
Moja ya kua smart kichwani kama ujiitavyo ni kujiepushia aibu ndogo ndogo km hizi
 
Back
Top Bottom