"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

So kumbe hata Tanzania inaweza kuamua kuichabanga Kenya na ikawa fresh tu kaka?
... kwa reference ya US vs Palestine! Mfano wa kipumbavu kabisa kuhalalisha udikteta wao against taifa huru la Ukraine.

Sio hawahawa wanawatishia Finland, Sweden, na Japan? Means wakiwamaliza Ukraine wanaonesha waziwazi watawatwanga na hao wengine! Haikutegemewa "wajamaa" Russia wangegeuka mafashisti na mafedhuli wakubwa hivi!
 
hawawezi wakawamaliza sababu UKRAINE anampa kichapo kikali sana RUSSIA
nasikia kuna makombora matatu yameanguka MOSCOW
 
Me naona katoa mfano mzuri Kama kweli ukifikiria ..jinsi ulaya inavojidai kuiilaani urusi kwa Vita hii but imekua kimya kwa Vita vingine vinavofanywa na marekan huo ni ukweli
 
Me naona katoa mfano mzuri Kama kweli ukifikiria ..jinsi ulaya inavojidai kuiilaani urusi kwa Vita hii but imekua kimya kwa Vita vingine vinavofanywa na marekan huo ni ukweli
Wao Urusi waliwahi kulaani na kuchukua hatua lini? Si wana hadi veto? Waliwahi kuitumia kwa manufaa ya nchi maskini ipi? Wanafiki tu hao kwa kuwa ni jambo lao lazima waongee kinafiki.
 
Waache wauane.
 

Ila wee jamaa ni kiboko aise. Nakuona unavyoongea kwa hisia kali sana,,hebu hizo hisia zako zielekezee kwa waarabu na waafrika basi!! Hapo ametajwa Palestina tu presha imepanda mzehe!

Kuna mshikaji mmoja alikua anafanya kazi za ndani kwa myahudi, pamoja na kuwahudumia mbwa na kuwaogesha, sijui ni yupi kati yenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…