4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
UN imekemea mara nyingi , fuatilia , huko uarabuni walaumu akina China na huyo huyo Russia ambao ni mataifa ya ASIA na walikuwa Kimya kipind wenzao wanavamiwa ila leo hii wanaitumia km kinga dhidi ya uhalifu wao huko UkraineKumuelewa mpaka uwe una ufahamu mkubwa wa mambo ya vita Duniani. Amekejeli lakini kuna point. Ni mara ngapi USA imevamia nchi zingine bila sababu ya msingi lakini sio UN wala NATO waliomkemea bali walimuunga mkono. Hakuna Usawa.