"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

Siasa za kimataifa haziendeshwi kwa haki ya vitabu vya dini....ni uhuni wa kisomi....

Haya mkuu endelea kuamini siasa hizo ni 2+2= 4 👍
Sijafanya reference yoyote kutoka kwenye vitabu vya dini.
Hata kama kwenye siasa 2+2 sio wakati wote ni 4 bado unawajibika kuonyesha kama ni 5 au 10 na sio kutoa sweeping and unsupported statements then una justify kwa kusema siasa sio 2+2=4.
 
Marekani kazivamia nchi nyingine kwa ajili ya maslahi yake na Urusi kaivamia Ukraine kwa ajili ya maslahi yake kwa hiyo hakuna mwenye tofauti hapo.

Sema Ukraine ni wazungu ndio maana unaona kelele zote hizo maana wao ndio wanajiona wana haki ya kuishi kwa amani kwa sababu wao ni bora kuliko wengine na nyinyi waafrika vilaza mnajifanya kuwa na uchungu nao.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mtumiaji wa Tecno bado hujaeleza hayo maslahi ya Marekani kuzivamia hizo nchi yalikuwa yapi au ni yapi?

Wakati unanijibu usisahau kuweka ulinganifu na anayofanya Russia
 
Back
Top Bottom