Sijafanya reference yoyote kutoka kwenye vitabu vya dini.Siasa za kimataifa haziendeshwi kwa haki ya vitabu vya dini....ni uhuni wa kisomi....
Haya mkuu endelea kuamini siasa hizo ni 2+2= 4 👍
Hata kama kwenye siasa 2+2 sio wakati wote ni 4 bado unawajibika kuonyesha kama ni 5 au 10 na sio kutoa sweeping and unsupported statements then una justify kwa kusema siasa sio 2+2=4.