Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Siungi mkono Urusi kuivamia nchi nyingine lakini hapo kwa Urusi kutafuta support in Africa; Urusi amekua msaada sana kwa vita ya ukombozi kwetu sisi Wa Africa, alitusaidia sana karibu nchi zote za Africa zilizo kaliwa kimabavu na "mabeberu".... ndio anatafuta support ya Africa na Middle East kwa approach hiyo? Ndio anaitaja Afrika leo? Wahuni wakubwa.