UN imekemea mara nyingi , fuatilia , huko uarabuni walaumu akina China na huyo huyo Russia ambao ni mataifa ya ASIA na walikuwa Kimya kipind wenzao wanavamiwa ila leo hii wanaitumia km kinga dhidi ya uhalifu wao huko UkraineKumuelewa mpaka uwe una ufahamu mkubwa wa mambo ya vita Duniani. Amekejeli lakini kuna point. Ni mara ngapi USA imevamia nchi zingine bila sababu ya msingi lakini sio UN wala NATO waliomkemea bali walimuunga mkono. Hakuna Usawa.
ww kweli mbu mbu mbu ,unataja ulaya halafu unataka ilaani mambo ya ASIA bila umoja wao wa ASIA kulaani , huoni utumbo wako , bado URUSI inazid kujitukana yy na China kuwa hawa umoja na mataifa shiriki ya Asia pindi taifa moja linapovamiwa , ss hv wajifunze kwa UlayaMe naona katoa mfano mzuri Kama kweli ukifikiria ..jinsi ulaya inavojidai kuiilaani urusi kwa Vita hii but imekua kimya kwa Vita vingine vinavofanywa na marekan huo ni ukweli
nn hoja yakoIla wee jamaa ni kiboko aise. Nakuona unavyoongea kwa hisia kali sana,,hebu hizo hisia zako zielekezee kwa waarabu na waafrika basi!! Hapo ametajwa Palestina tu presha imepanda mzehe!
Kuna mshikaji mmoja alikua anafanya kazi za ndani kwa myahudi, pamoja na kuwahudumia mbwa na kuwaogesha, sijui ni yupi kati yenu!!
Ukraine ipo Ulaya , na mataifa ya Ulaya yamesimama na ndugu yao., ila mipumbav miarabu mwenzao anavamia wao wanaenda Miami kula bata hlf leo wanalalamika kwann wazungu hawakukemea , mataifa ya Asia hayajielew km waafrika tuUkweli upi huo? Kumbe kuvamiwa nchi za kiarabu ni kawaida sana ee, ila Ukraine mnaleta kelele zenu hapa!!!
Huna akili ya kuelewa kilicho tamkwa hapo,huo ni mfano tu wala Russia hahitaji support yako..... ndio anatafuta support ya Africa na Middle East kwa approach hiyo? Ndio anaitaja Afrika leo? Wahuni wakubwa.
Mpuuzi wewe; una akili gani?Huna akili ya kuelewa kilicho tamkwa hapo,huo ni mfano tu wala Russia hahitaji support yako.
Wewe kituko cha jf unaruka ruka tu kama vile Kuku aliye katwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,Mpuuzi wewe; una akili gani?
Wewe usiye kituko una kipi cha maana? Kubwa jinga.Wewe kituko cha jf unaruka ruka tu kama vile Kuku aliye katwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,
Huna ujualo,unaongozwa na mahaba niue wakati huyo Yahudi mwenyewe wala hakutambui kapuku wewe.
Sasa kama huna akili ya uelewa utawezaje kutambua cha maana nilichonacho? Endelea kumtetea yahudi humu jf huku umasikini ukiendelea kukutafuna huko kijijini kwenu.Wewe usiye kituko una kipi cha maana? Kubwa jinga.
... Nitambue ambacho huna? Kubwa jinga kweli wewe.Sasa kama huna akili ya uelewa utawezaje kutambua cha maana nilichonacho? Endelea kumtetea yahudi humu jf huku umasikini ukikutafuna huko kijijini kwenu.
Utaonaje au utatambuaje wakati akili ya utambuzi huna? Unaona sasa jinsi ulivyo kua hamnazo!... Nitambue ambacho huna? Kubwa jinga kweli wewe.
Kama ipi?Inawezekana lakn had pawe na sababu
Kibogahawawezi wakawamaliza sababu UKRAINE anampa kichapo kikali sana RUSSIA
nasikia kuna makombora matatu yameanguka MOSCOW
Ni wanajeshi TU ndio wana huo ufahamu mimi na wewe hatujui kitu zaidi ya kubishana ukiwa unakokujua wewe na ninakokujua mimi.Kumuelewa mpaka uwe una ufahamu mkubwa wa mambo ya vita Duniani. Amekejeli lakini kuna point. Ni mara ngapi USA imevamia nchi zingine bila sababu ya msingi lakini sio UN wala NATO waliomkemea bali walimuunga mkono. Hakuna Usawa.
Kosa la USA ndiyo lihalalishe upuuzi wa Urusi?Kumuelewa mpaka uwe una ufahamu mkubwa wa mambo ya vita Duniani. Amekejeli lakini kuna point. Ni mara ngapi USA imevamia nchi zingine bila sababu ya msingi lakini sio UN wala NATO waliomkemea bali walimuunga mkono. Hakuna Usawa.
Ukristo umeingiaje hapo?We naye hujaelewa. Sijui kwa nini wakristo huwa hamna akili....
Swala la dini limeingiaje. Wewe ndio akili zako ziko kwenye makalio kwani kinachojadiliwa hakihusiani na diniWe naye hujaelewa. Sijui kwa nini wakristo huwa hamna akili....
Ni mwendawazimu tuu ndio anaweza kuogopa kuitwa dikteta wakati majirani wake wakikaribisha maadui zake wamzingire.... kwa reference ya US vs Palestine! Mfano wa kipumbavu kabisa kuhalalisha udikteta wao against taifa huru la Ukraine.
Sio hawahawa wanawatishia Finland, Sweden, na Japan? Means wakiwamaliza Ukraine wanaonesha waziwazi watawatwanga na hao wengine! Haikutegemewa "wajamaa" Russia wangegeuka mafashisti na mafedhuli wakubwa hivi!
... huna halafu kionekane; mimi na wewe nani bwege?Utaonaje au utatambuaje wakati akili ya utambuzi huna? Unaona sasa jinsi ulivyo kua hamnazo!
Marekani kazivamia nchi nyingine kwa ajili ya maslahi yake na Urusi kaivamia Ukraine kwa ajili ya maslahi yake kwa hiyo hakuna mwenye tofauti hapo.Ni wanajeshi TU ndio wana huo ufahamu mimi na wewe hatujui kitu zaidi ya kubishana ukiwa unakokujua wewe na ninakokujua mimi.
Nitajie nchi ambazo zimevamiwa na Marekani na uweke sababu ya kuvamiwa kwake tuone kama zinafanana na Urusi kuivamia Ukraine
Nasubiri