"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

.... ndio anatafuta support ya Africa na Middle East kwa approach hiyo? Ndio anaitaja Afrika leo? Wahuni wakubwa.
Siungi mkono Urusi kuivamia nchi nyingine lakini hapo kwa Urusi kutafuta support in Africa; Urusi amekua msaada sana kwa vita ya ukombozi kwetu sisi Wa Africa, alitusaidia sana karibu nchi zote za Africa zilizo kaliwa kimabavu na "mabeberu"
 
Haki ya kujilinda ndio haki ya kushambulia? Unavamia nchi kwa tatizo la kufikirika?
 
Kumuelewa mpaka uwe una ufahamu mkubwa wa mambo ya vita Duniani. Amekejeli lakini kuna point. Ni mara ngapi USA imevamia nchi zingine bila sababu ya msingi lakini sio UN wala NATO waliomkemea bali walimuunga mkono. Hakuna Usawa.
Amemuelewa sana na comment yake pia ameitoa kwa kejeli kwamba kwakuwa USA anafanya 'uvamizi' so ni halali na yeye Russia kuvamia Ukraine kwa reference ya USA.
 
... vipi tena? Mbona mnapingana?
Huyo mzee wa 'nonsense' nadhani hilo neno huwa liko standby,haangalii nani kacomment nini akiona tu neno Russia anakushukia na 'nonsense'[emoji3][emoji3]
 
Sasa mbona wewe ndiyo unaonekana kuwa na hisia zilizochanganyikana na jazba zaidi hasa kwa hiyo paragraph ya mwisho kuliko hata unayemtuhumu
 
Wao Urusi waliwahi kulaani na kuchukua hatua lini? Si wana hadi veto? Waliwahi kuitumia kwa manufaa ya nchi maskini ipi? Wanafiki tu hao kwa kuwa ni jambo lao lazima waongee kinafiki.
Mbona Putin kishaongeaga sana kuhusu ubabe wa US, US akiamua lake HAMNA WA KUMZUIA.

Hao UN ndio kabisa wanabweka ila hawaumi.
 
Kama hujui kwa nn urusi kaivamia ukraine hupaswi kuchangia hoja maanabado upo gizani usingizini kabisa
 
.... ndio anatafuta support ya Africa na Middle East kwa approach hiyo? Ndio anaitaja Afrika leo? Wahuni wakubwa.
Kumbe mnakua mnaumia mkiambiwa ulweli eee wapuuzi wakubwa nyinyi, endeleeni kuumia Lavrov kaongea ukweli jitafakarini na propaganda zenu, endeleeni na maumivu
 
Unazungumzia Japan hii iliopigwa silaha za maangamizi za Nuclear na Marekani ??
 
Siungi mkono Urusi kuivamia nchi nyingine lakini hapo kwa Urusi kutafuta support in Africa; Urusi amekua msaada sana kwa vita ya ukombozi kwetu sisi Wa Africa, alitusaidia sana karibu nchi zote za Africa zilizo kaliwa kimabavu na "mabeberu"
Kaka soma kwanza uelewe ndo uanze kuandika.
 
kojoa ulale...Dunia haijawahi kua fair..na haya ni majibu tu nusu ya vilivyokua vinafanywa na marekani na washiriki wao...bado tunakumbuka arab spring ,libya,iraq syria etc
 
nn hoja yako

Hoja yangu acheni chuki dhidi ya mataifa ya kiarabu/kiisilamu, na acheni kumlaani mrusi kwa sababu ya operation yake nchini ukraine, mbona wakati inavamiwa iraq na mataifa mengine ya kiarabu hamkulaani!!!! Chuki zimewajaa vifuani mwenu.

Hapo chini nimezungumzia kutumikishwa na myahudi hapa bongo,,,je ni wewe??
 
Kuna kipindi marekani aliamua kumwaga maelfu ya makombora yake na kuua malaki ya wa Afghan wasio na hatia katika milima ya tora bora na miji mingine bila sababu yoyote

Wakati mwingine aliipiga Iraq na kuua mamia kwa maelf kwa kulipiza kisasi cha vita ya Ghuba

Wakati haya yote yanafanyika pamoja na yale yaliyoendelea kwenye nchi za kiafrika kama somalia, elitrea, sudan Libya n.k ambako marekani ana mkono wake huko

Waafrika na Duna nzima tulikua kimya tumetuliza WOWOWO zetu na mbaya zaidi hata huo "unaoitwa" umoja wa mataifa ulikua hauthubutu hata kutikisa WOWOWO lake kusema lolote

Leo wapalestina wanagongwa na mazayuni wa kiyahudi Dunia Afrika na "unaoitwa" umoja wa mataifa wamepumzisha WOWOWO zao na kuzifunga zipu kwa kutoongea chochote

@!!Leo ukrain anapigwa Marekani kageuka mtakatifu wa kumlaani mrusi kwa anachokifanya

@!! Leo ati umoja wa mataifa unaona kuna binaadam wanaonewa kila siku wanawashwa kuwaombea poo?

@ leo ati waafrika tunaamsha WOWOWO zetu na kuilaani urusi wakati aliyekua mwenyekiti wetu wa Au wakati ule Gadafi na yaliyokua makao makuu ya jeshi la Afrika wakati ule Libya linatembezewa kichapo na marekani na washirika wake sisi tuliufyata na kumuona marekani na Nato ni ma Mr. Right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…