"Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

na nyinyi waafrika vilaza mnajifanya kuwa na uchungu nao.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app

Yani hawa viumbe wamekufa wameoza kwa wazungu na mayahudi laanatullah alayhim, hata wanyewe mdomoni lakini bado watawaona wa maana na wataendelea kuwakingia vifua, na kuwachukia waarabu.
 
Amemuelewa sana na comment yake pia ameitoa kwa kejeli kwamba kwakuwa USA anafanya 'uvamizi' so ni halali na yeye Russia kuvamia Ukraine kwa reference ya USA.

Wewe ndio hijaelewa kilichosemwa
 
Sasa mbona wewe ndiyo unaonekana kuwa na hisia zilizochanganyikana na jazba zaidi hasa kwa hiyo paragraph ya mwisho kuliko hata unayemtuhumu
Una matatizo ya uelewa?? Wapi nimetuhumu mtu?? Hebu nionyeshe hicho kipengele!!

Ninyi mnawachukia sana waarabu,,hivyo kuvamiwa kwao na kuuawa kwao ndio furaha kwenu wamatumbi, ingawa wapo wanaojitambua.
 
[emoji846]
 
Ulipokariri ukaamua ukipende na kukifia ULICHOJIKARIRISHA si ndio mkuu ee?!! 🀣🀣
 
Wao Urusi waliwahi kulaani na kuchukua hatua lini? Si wana hadi veto? Waliwahi kuitumia kwa manufaa ya nchi maskini ipi? Wanafiki tu hao kwa kuwa ni jambo lao lazima waongee kinafiki.
Unafiki ni nini ?!!!

Wewe hujawawahi kuwa mnafiki ama kufanya unafiki katika maslahi yako maishani ?!!!😲😲🀣🀣
 
Wachache sana ndio tutakuelewa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point[emoji109]
 
Haki ya kujilinda ndio haki ya kushambulia? Unavamia nchi kwa tatizo la kufikirika?
Sio kufikilika. Chanzo cha yote haya wala sio Ukraini wenyewe. Nyuma ya Pazia hii vita imechochewa zaidi na πŸ‡ΊπŸ‡Έ USA. USA ana masilahi na hii Vita. Umoja wa NATO wanaiunga tu USA.
 
Sio kufikilika. Chanzo cha yote haya wala sio Ukraini wenyewe. Nyuma ya Pazia hii vita imechochewa zaidi na πŸ‡ΊπŸ‡Έ USA. USA ana masilahi na hii Vita. Umoja wa NATO wanaiunga tu USA.
Kwa hiyo Urusi kachochewa na US kuvamia Ukraine? Onyesha links inazo support tuhuma zako.
 
Kufikikirika?!!!

Yaani Ukraine kujiunga na NATO ni suala la kufikirika?!!! huh 😲🀣
Kwani Ukraine wamejiunga na NATO? Kuonyesha nia ya kujiunga na NATO, ( na NATO hawako tayari kuwakubalia kwa sasa), na kujiunga ni vitu viwili tofauti kabisa. Au wewe na Bwana Utam mnaona ni sawa?
 
Kwani Ukraine wamejiunga na NATO? Kuonyesha nia ya kujiunga na NATO, ( na NATO hawako tayari kuwakubalia kwa sasa), na kujiunga ni vitu viwili tofauti kabisa. Au wewe na Bwana Utam mnaona ni sawa?
Siasa za kimataifa haziendeshwi kwa haki ya vitabu vya dini....ni uhuni wa kisomi....

Haya mkuu endelea kuamini siasa hizo ni 2+2= 4 πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…