Denzel always a cool serial killer. Mtu wa kutafakari na kuchukua muda kuja kumuingia adui baada ya tafakuri sio kila mahali maguvu tu kama hao wengine.
Liam huyo jamaa ni balaa akifuatiwa na Statham, hapo hata kama mateka kuachiwa huru inahitajika trilioni we relax tu, atakombolewa bila hata kutoa sh mia mbovu