Unaamka tu unakutana na baba mwenye nyumba anataka kodi, hela ya umeme + pesa x wanapiga simu urudishe mkopo wao... Sijui utamuita nani Kati yao. π€π€π€
Mimi ningekwenda na Anord Schwarzenegger...
Huyu jamaa mwamba sana..
""If you put the gun down"" i won't kill you.
Alisikika Anord Schwarzenegger akiwaambiya jamaa waliokuwa wamemkamata huku mtutu wa bunduki ukielekezwa usoni kwake.,