Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Mkuu, unachosema ndicho ulichokiona?Naomba kutoka nje ya mada kidogo....
Je, mmenotisi kuwa mvua zimenyesha na kutoa maji meusi? Ni nini kiko huko angani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unachosema ndicho ulichokiona?Naomba kutoka nje ya mada kidogo....
Je, mmenotisi kuwa mvua zimenyesha na kutoa maji meusi? Ni nini kiko huko angani?
HakikaMkuu, unachosema ndicho ulichokiona?
Alien 👽👽👽Hii kitu mbona ni kweli ?? Binafsi nimeshuhudia maji ya mvua yaliyokingwa yakiwa ni meusi nilipuuzia ila baada ya kuona umeandika nimeshtuka
Umepata wapi maji ya kuchezea?Umeme hamna! nimelala mchana nimeloanisha shuka.
Na umeme kutokuwepo ni matokeo ya maji kutokuwepo , wataalamu wanaita ouroborosmaji kutokuwepo ni matokeo ya umeme kutokuwepo😀
Labda huko uliko mkuu, ni wapi hapo, hii watalaam wetu wafanye utafiti aiseeHakika
kipi kinaanza? Umeme au maji?Na umeme kutokuwepo ni matokeo ya maji kutokuwepo , wataalamu wanaita ouroboros
View attachment 2890798
Alien wamefanyaje?Alien 👽👽👽
Wanasema twendeni na Saa100 mwaka 2025-30.Kama ingekuwa sehemu za watu wawajibikaji kuna watu wangeondolewa kwenye nafasi walizonanzo maana hawatoshi.
Kweli na mvua hizi lakini maji hayatoki?
Nani yuko responsible?
WeweKama ingekuwa sehemu za watu wawajibikaji kuna watu wangeondolewa kwenye nafasi walizonanzo maana hawatoshi.
Kweli na mvua hizi lakini maji hayatoki?
Nani yuko responsible?
Hicho ni kitendawili😆kipi kinaanza? Umeme au maji?
Ndio umefikia hapaBado hamjasema. Mpaka mseme.
Cc Maghayo
Kinachokwaza zaidi hawatoi maelezo yakueleweka, wanatudharauKama ingekuwa sehemu za watu wawajibikaji kuna watu wangeondolewa kwenye nafasi walizonanzo maana hawatoshi.
Kweli na mvua hizi lakini maji hayatoki?
Nani yuko responsible?
Unasema?Ndio umefikia hapa
Huelewi nini??Unasema?
Sielewi una maana gani.Huelewi nini??
Kuna sehem ulisema unalala uchi.. I wish nikuone ulalaji wako Bint mremboUmeme hamna! nimelala mchana nimeloanisha shuka.