Fikiria umeme hamna na maji hamna!

Fikiria umeme hamna na maji hamna!

Africa kuwa na stable electricity ni ngumu sana hata maji. Siku ukiwaza mtu aliyewekeza kwenye kiwanda cha jenereta kaweka shs ngapi na analipa watu mishahara na kodi anatoa unadhani mtu huyu atakosa soko? Binafsi nilikubali yaishe nilinunua solar na maji navuna ya mvua.

Najipanga nichimbe kisima. Nitulie
 
Kwa sababu sisi ni dunia ya ulimwengu wa tatu, hatuna sababu za kulalama...its obvious kwamba basic needs kwetu ni anasa.

Yaani gari, maji, umeme, nyumba nzuri, ac...nk ni anasa...yaani hata chakula bora tu ni anasa, hata kula matunda ni anasa. Dunia ya tatu!
 
Haya hata wananchi wenyewe ni tatizo
 
Kama ingekuwa sehemu za watu wawajibikaji kuna watu wangeondolewa kwenye nafasi walizonanzo maana hawatoshi.

Kweli na mvua hizi lakini maji hayatoki?

Nani yuko responsible?
Halafu mtu anadanganywa na makonda anakubali. Waache wakandamizwe c ndo kuisoma namba kwenyewe huko
 
Hahahaaa!! KIZIMKAZI hajui na hana MDA nalo. Mwambie kutengua na kuteua TU. Hapo fasta
 
Back
Top Bottom