Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Joined
Jul 18, 2019
Posts
76
Reaction score
304
Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!

Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi?

Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote ichukuliwe ni coincidence tu
 
Ha ha ha siasa tamu sana.

Mh. January Makamba ameshawahi kuingia TOP 5 ya kuomba ridhaa ya Urais ndani ya CCM, hiyo nayo ni CV ya kufanya kazi nafasi yoyote ile.

All and all MAMLAKA HUTOKA MBINGUNI KWA BWANA.

#YetzerHaTov
#NchiKwanza
#KaziIendelee
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Ukiona nyuzi kama hizi zikimiminika kwa wingi hapa JF, basi tambua kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa mabadiliko ndani ya Baraza la Mawaziri.

Uteuzi wa Mh.Tax kuwa mbunge wa kuteuliwa, uwepo wa pengo la Waziri wa Ulinzi ni mojawapo ya viashiria vya kufanyika mabadiliko hayo ndani ya muda mfupi ujao.

Hata mimi kwa upande wangu namuona JYM kama ingizo jipya ndani ya baraza hata kama siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu. Ridhiwani naye pia anaweza kuwepo katika orodha kwa kuwa anatoka katika "bloodline" ya ufalme wa kiCCM.
 
Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.

Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Fact Mkuu
 
JM ni kijana mweledi, upeo na uwezo wa hali ya juu sana. Anaweza kuifanyia makubwa km akipewa nafasi ya Uwaziri Mkuu.

Hata Suleiman Jafo ni kijana kiongozi anayejituma na akipewa uwaziri Mkuu atatenda vema.

Binafsi yangu hawa vijana wawili nawakubali sana
 
Back
Top Bottom