Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hivi huwa mnatumia kipimo gani kusema huyu mtu ni bora?!JM ni kijana mweledi, upeo na uwezo wa hali ya juu sana. Anaweza kuifanyia makubwa km akipewa nafasi ya Uwaziri Mkuu.
Hata Suleiman Jafo ni kijana kiongozi anayejituma na akipewa uwaziri Mkuu atatenda vema.
Binafsi yangu hawa vijana wawili nawakubali sana