Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Ndungulile ndio wa vifurush au nimechanganya???Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndungulile ndio wa vifurush au nimechanganya???Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Kwa nini usiwe ww....!!?Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Tatizo ni msambaa oshieJM bdo hjapewa nafasi ktk wizara zenye kumuweka public sana kwa wanamchi ili aonekane
Hujuwi mfumo jinyamazie tuSi kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior Kama Makamba Kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?
Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi?
Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote ichukuliwe ni Coincidence tu
Level ya January ni Urais.Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior Kama Makamba Kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?
Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi?
Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote ichukuliwe ni Coincidence tu
Umewataja watu wa ajabu sana ambao hawana sifa hata yakuwa makatibu kata.Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Makamba Jr hata ubunge Ni kwa sababa tu fever ya Baba yake, ila akisimama yy Kama yy makamba hata uenyekiti wa serikal za mitaa hawezi kupata, kwanza kwa haiba yake si mwanasiasa, Wala hawez kuwaongoza watu, ila anafiti Sana kwenye ile kazi ya kuwachongea watu.... Hyo asee yupo vzr na ndiko hasa kunamfaa.. huku kwingine Ni chai maharagwe..Nikiangalia ushabiki wake wa mambo ya mpira(Namna anavyoshabikia kitoto) na ile sheria mbovu ya mawasiliano, namuona mtu wa kawaida sana, i mean the very average Joe.
Miongon mwa watu wanaotafuta uRais na urais haumtaki Ni hyu... Na hakuna muujiza wa kumfanya awe...Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Kabisa. Hakuna mtu pale. Ni sifuri. Anakwenda online anacopy vi'quote vya watu wenye IQ anapost Twitter, watu wenye upeo mdogo wanasema jamaa ni very smart.Yaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!