Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 304
Makamba kama simwamini vile.Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.
Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
ngalia ushabiki wake wa mambo ya mpira(Namna anavyoshabikia kitoto) na ile sheria mbovu ya mawasiliano, namuona mtu wa kawaida sana, i mean the very average Joe.
Ni Rais wa 2030, kama siyo Ndugulile or Mwinyi
Yaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!Huyo hata hawez fikriwa maana ana tamaa ya madaraka
Fact MkuuKama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.
Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
JM bdo hjapewa nafasi ktk wizara zenye kumuweka public sana kwa wanamchi ili aonekaneHuyu anaenda kuoata uwaziri lakin sio uwazir mkuu
Hapo baadae akijaliwa busara ataweza hio nafsi lakin kwa sasa