Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa wanachokifanya ni kujibrand wenyewe maana huwezi kuonesha faida ya moja kwa moja ya jambo kama hili isipokua hiyo.Mimi naona hapo ni lengo la hao watawala kujitangaza wenyewe na sio necessarily utalii uliopo hii ni list ya wote duniani waliyofanya hii kitu
It has featured a number of world leaders including New Zealand's Helen Clark, Israel's Benjamin Netanyahu, Abdullah II of Jordan, Peru's Alejandro Toledo, Mexico's Felipe Calderón, Rwanda's Paul Kagame and Poland's Mateusz Morawiecki.
Common denominator inaweza kuwa hao watawala kuji-promote zaidi kuliko hata chochote kilichopo kwao...., Kwahio huenda kwao politically its money well spent (ukizingatia sio their hard earned cash)
Filamu ilitengenezwa na kampuni gani? Nilitegemea kabla ya premiering, kampuni iliyotengeza movie yenyewe pamoja key players kufanya promotions mbalimbali ikiwa ni pamoja kufanya interviews nyingi kwenye vyombo mbalimbali vya dunia. Sasa kwenda kufanya premiering Marekani tena katika ukumbi usiojulikana ni kupoteza muda tu. Watalii wa Tanzania hawatoki Marekani tu; kwa style hii itabidi mama atembee dunia nzima kwenda kufanya shoo hizo iwapo yuko serious na kutangaza utalii kweli. Wakati wa Kikwete kulitoka filamu ya kuitangza utalii na kuna wakati Mama Salma alichukua Gulfstream ya Rais kwenda Brazili peka yake eti kutangza utalii. Leo hii hapo Youtube kuna video nyingi sana zinazopromote utalii TanzaniaYani kitu kimetengenezwa kwa 7-9B halafu kizunduliwe Tanzania ambapo 3/4 ya Wananchi wake hawawezi kula milo 2 -zitakiwa akili au matope??
Unataka faida bila kuweka mtaji!?Kwahiyo unaona sawa kabisa mapesa tunavyoyamwaga kisa filamu tu.
Nikuulize pia the same question.Yani kitu kimetengenezwa kwa 7-9B halafu kizunduliwe Tanzania ambapo 3/4 ya Wananchi wake hawawezi kula milo 2 -zitakiwa akili au matope??
Huyu mama tumepigwa...shamba la bibi tenaNyakati za ziara za kwenda kubembea zimerudi tena.
Makushabu Ni hatari Sana kwa mustakabari wa Taifa.Kwa akili ya Haraka haraka hizi Royal Tours walizofanya kina Kagame et al lengo kuu ni Ku-promote mtu na sio necessarily Taifa wala Utalii...
It just a Campaign sidhani kama hii kiti itaishi for the next 20 years..., nikitaka kujua kuhusu vivutio vya Tanzania nitawasikiliza ma-guides wenye kufanya hio kazi day in day out na sio rehearsal ya mwana-siasa
Sasa kama majority ni wabongo tija yake ni ipiNgoja uambiwe posho zao sasa
Raisi atembei cheap kuna team hapo ya walinzi wake ilishatangulia kama week kabla, kuhakiki usalama wa sehemu anayofikia na kuafiki security details zake.
Hao jamaa kwa week mbili kipindi cha kile wameenda Glasgow kila mtu posho yake si chini ya £6000.
Halafu sasa yeye mwenyewe anaenda na kundi lake rasmi sikia tu hizo posho zao.
Now piga lile kundi la Dubai kila taasisi, wizara na kundi la raisi liliondo kwa posho ya wastani wa dola $4500 kwa week plus ticket fairs.
Walinzi wa mama wasipojenga nyumba za kueleweka ndani ya huu mwaka mmoja awajengi tena.
Ukumbi wenyewe huko anapoenda zinnia unaenda jaza wabongo kushinda wazungu.
Maza anaupiga mwingi
Awamu zote hua tunapigwa tu,aina ya Kichapo ndio hua inatofautiana.Awamu iliyopita kulikua na mtaalam wa kuwamaliza watu na kuwaweka kwny viroba,awamu hii tuna mla bata.Huyu mama tumepigwa...shamba la bibi tena
Ushaambiwa muda wa kulamba asali.Sasa kama majority ni wabongo tija yake ni ipi
Si bora angezindua hapa hapa tu.
Lengo ni kuwavutia watalii ambao ndio wako huko.Royal Tour ya Tanzania imegeuka ya Marekani?
Marekani anapigana vita Ukraine?Dhumuni ni kupromote utalii.
Inashangaza unapromote vipi utalii watu wakiwa busy kwenye vita??
Hao watalii watapigana vita au kuja kutalii.
Timing ni mbaya.Lengo ni kuwavutia watalii ambao ndio wako huko. Kwa hili ninamuunga mkono raisi.