Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?
Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.
Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?
Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.
Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.