Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii

Mchunga ng'ombe ametuharibia sana vijana,amewaaminisha watu kwamba nchi yetu imebarikiwa sana kuliko nchi yoyote duniani,watu jamii ya mtoa mada huwa wanaamini kwamba madini,utalii kwa ujumla kama mbuga za wanyama Tanzania ndio ya kwanza.
Zipo nchi kama Misri pato lao la Taifa linategemea utalii.

Tanzania utalii unategewa kwa % ngapi kwenye pato la Taifa?
Ni biashara gani duniani ambayo ikishafahamika hawafanyi tena matangazo?

Naungana na ZZZK kwamba wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakazikwe pembeni yake mwacheni mama afanye kazi.
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
Hivi vivutio lazima vitangazwe (kumbuka sio vyote vinafahamika) ili kuongeza watalii wengi zaidi.

Bado idadi ya watalii tunaopokea haiendani na idadi ya vivutio iliyopo, lazima tuendelee kujitangaza Sana tena Sana.

Kizuri lazima kijiuze.
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
Wajinga na wapuuzi huwa hamkosekani..

Kitovu cha Utalii na Unapata less than 1,000,000 tourists? Una akili timamu?
 
JF ni jukwaa huru ukiweka Uzi wako Basi kubali kukosolewa/kusapotiwa sababu kila Mtu anamtazamo wake juu ya mada yako.
Unaweza kujiona unajua kumbe huna ulijualo .
Tukianzisha uzi basi tukubali mawazo mbadala na sio kutukanana.
 
1. Hii ni promotion campaign, huwa zina malengo 3

i Kufahamisha walengwa juu ya uwepo wa huduma/bidhaa

ii Kukumbusha, inawezekana aliyefahamishwa anakumbana na bidhaa/huduma shindani nyingine hapa promotion inatumika kumkumbusha mteja

iii Kuhamasisha/Kuvutia/Kushawishi, mtu ambaye ameisha kumbushwa sasa anapewa taarifa za ziada zaìdi ili kumshawishi kutumia bidhaa zaidi

Mzunguko wa malengo hayo 3 ni jitihada za kila za kila siku za mfanyabiashara timamu ambaye ana bidhaa/huduma timamu
Na ndio maana Cocacola mpaka leo hii kila siku ya Mungu wako kwenye Promotion

Muitikio/Impact yake imeanza kuonekana mapema sana baada ya wapinzani wetu ktk biashara hìi kuanza kutengeneza Fabricated Scandals
Hii nilikuwa najibu hoja kuwa hakuna asiyejua Tz na vivutio vyake vya Utalii ?

2.Zaidi ya hapo tuende mbele zaidi, vivutio vilivyopo Tz na idadi ya Watalii wanaozuru Tz mbona inaonyesha Watalii ni wachache ukilinganisha na nchi ambazo vivutio vyake havifiki hata 1/8 ya vivutio vilivyopo Tz

3. Pesa zilizotumika
Wa Tz wanalalamika kwamba, Mama anafubaza 11 billion kuzindua hiyo Royal Tour
Ukweli ni kwamba hizo pesa hazitolewi na Serikali
Lakini hata kama zingekuwa zinatolewa na Serikali unaweza kulinganisha na zile 78 billion tulizozizika pale Chato Airport ?
Ukitaka kujua impact ya 11 billion iliyotumika waulize wakazi wa Arusha

4. DFI
Promotion ya Royal Tour ina lengo la ku promote Makampuni Makubwa ya Utalii na Yasiyo ya Utalii directly. Hii inaitwa Direct Foreign investment
DFI imekuwa kigezo kikubwa cha economic growth kwa nchi nyingi duniani. Nchi kama UAE haina mafuta mengi kama tunavyodhani ukilinganisha na Nigeria. Lakini UAE iko mbele kiuchumi kuliko Nigeria, why ? Because of DFI

Na ndio maana unaona watu wenye akili kama JK alimuomba Mtz (Ms Komwihangiro) aliyekuwa very successful ktk South Africa Investment Centre aje Tz kusukuma gurudumu la DFI mtu mmoja anakuja kumtimua kazi kama house girl

It's very painful kwa watu wanaojua dunia inaendaje

Tutembee kifua mberee sisi ni Matajiriiii
Wawekezaji watatufuata wenyeweee
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
kwani hukuona kma zilitumika 7b lkn sio pesa za watz hlf sio 11b kma unavosema ww
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
Mawazo yako yanapotosha, unafkiri coca cola au pepsi,au vodacom wanapotumia mabilioni kujitangaza hizo bidhaa hazifahamiki, advertisement kwenye targeted market ni aspect muhimu sana katika biashara, hivyo hivyo katika utalii, nchi nyingi zina vivutio vya utalii,usipojiongeza kwa namna kama hii,ukalala tu na safari channel, wengine watachukua hizo fursa,hasa majirani zetu,wenzako hawalali, hi ni do or die business na inafaida kubwa sana kwenye forex etc, so kutumia hizo fedha kwa jambo ambalo return yake ya investment ni kubwa ni jambo la kumpongeza sana Mama kwa ubunifu na jitihada hizi.tuwe na maono ya maendeleo na kibiashara zaidi na kuacha mambo ya "kihafidhina"
 
Kwani kujitangaza lazima tushoot royal tour?
 
Tunasubili Report ya CAG IJAYO ITAKAVYO SIFIA MATUMIZ YA PESA ROYAL TOUR YALIVYOKUWA VZR
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
Hizo pesa nyingi Sana aisee bora wangewapa ruzuku viwanda vya matrekta wazalishe kisha wawauzie wakulima bei chee
 
Sukuma gang tulieni basi. Mwacheni mama aijenge nchi....

Au mnataka naye ale mahindi barabarani na kununua jogoo kwa laki moja???
Asprin hizo kauli zenu Mama Samia asipo zikemea ni za hatari mno. Nakumbuka hata Rwanda watusi waliitwa cockroach, na hakika waliuawa wengi. Tanzania hakuna kitu kama hicho na kama mnataka kiwepo mjue wasukuma wapo wengi na wakiamua hata kujitenga na kuwa na nchi yao inawezekana kabisa. Nadhani ni muda muafaka Mama Samia kujitokeza kukemea kauli za kibaguzi. Kama atakaa kimya atakuwa rais wa kwanza kuchochea ukabila ingawa juzi hapa katoa kauli mbaya eti Dkt Magufuli alikuwa mdini na mkabila, yaani inasikitisha sana mpaka machozi.
 
Aaah wapi hakuna kitu kama Hicho Sukuma Gang ni kikundi Cha wahuni wachache tu Tena wengine wakiwa wangoni na wamatumbi Hiyo title isikutishe mbona Kuna wasukuma Og nawajua wanaikaandia Hilo genge la Mwendazake?
Eti Rwanda nyeeee nyeeee
Gwa Newyorkoooooo jaribuni kuleta choko choko mtapata Kipigo Cha mbwa Koko!
 
Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini?

Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman Abromovich na Mukesh Ambani, marais Bill Clinton na mastaa kibao wa dunia hii walishatia mguu kutembelea mbuga za wanyama hapa nchini bila hata kuvutiwa na royal tour.

Mabeberu waliopo huko Usa wao ndio watutafutie soko sisi watanzania? Bureee?

Hizo bil 11 zilizotumika kushoot royal tour ni upotevu wa pesa tu. Watalii wangekuja bongo bila hata ya filamu ya royal tour na taifa letu lingepata pesa.

Mabeberu wamepata mwanya wa kutufanya mazoba.
Bil 11 ni bei chee sana kutangaza kwenye TV za Marekani au Ulaya. Tena TV za Marekani zina masharti magumu sana mpaka wakubali matangazo yako.
 
Aaah wapi hakuna kitu kama Hicho Sukuma Gang ni kikundi Cha wahuni wachache tu Tena wengine wakiwa wangoni na wamatumbi Hiyo title isikutishe mbona Kuna wasukuma Og nawajua wanaikaandia Hilo genge la Mwendazake?
Eti Rwanda nyeeee nyeeee
Gwa Newyorkoooooo jaribuni kuleta choko choko mtapata Kipigo Cha mbwa Koko!
Wenye akili wameelewa, utakuja sikia hizo kauli zitapigwa stop
 
Back
Top Bottom