atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna moja niliiona mahali fulani hivi.
Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EtiShida ya bongo muvi ni ubinafsi..unakuta mtu mmoja ndio editor,poducer pia huyo huyo ndio muigizaji..sasa atapata wapi mawazo mbadala..
😂😂🤣🤣🤣🤣 hii kalimzee jengua ndo mtoto wa jb eti!
khaaa..
Anafaa huyo analinda maadili.Kuna moja niliiona mahali fulani hivi.
Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa😂😂😂😂
Umeua mzee hiyo tabia inakera Sana unakuta wanapoteza muda mrefu mtu akidrive gari au kutembea kingine story zao Ni very predictable.Ujinga wa bongo movie hata kama wali plan kuigiza stori aidha ya kweli yenye maudhui mazuri hata kama stori hiyo ilipaswa kuchukua dakika 45 kukamilika, wao watai-extend kwa kujizungusha zungusha ili mradi tu zitoke mbili wapate ulaji (part1&part2)
Kero zitaanza, vitu ambavyo havikua na umuhimu kuvionesha wao wataziongeza ili kufikisha lengo lao. Mfano scene inazungumzia dada wa kazi akimuwekea dawa kwenye chakula mama mwenye nyumba ili ammiliki mumewe.
Basi hapo wanaweza kuonesha situation nzima iliyofanyika jikoni kuanzia kuchambua maharage mpaka stage ya kuiva ili mradi tu muda uende. Mpaka unajiuliza hii ni movie au tutorial ya mapishi?
Unakuta baada ya dakika nyingi kupita unaona binti ameandaa msosi, sasa yule mama mwenye nyumba anamega tu tonge unakuta maandishi eti "watch out part two" goddammit hizo dakika mlizozipoteza kwenye uchemshaji wa maharage kwanini msikate hiyo scene muweke muendelezo?
Hili kweli kabisa.. sasa sijui ni nani aliewaambia kuwa mlinzi lazima awe ndimu😂Kila mlinzi wa getini nati kichwani zimelegea😂😂😂
Hahhahah noma sanaKuna moja niliiona mahali fulani hivi.
Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bongo muvi bana
Eti picha ina sema miaka 20 nyuma halafu watu wapo sehemu kuna bango la jpm na limeandikwa hapa kazi tu