Filamu za Bongo bado

Filamu za Bongo bado

Kuna moja niliiona mahali fulani hivi.

Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walipenda skendo kuliko kazi ikawatafuna ,laaan imepatiliza mpaka vijawa wanaochipukia hahahajajj RIP kanumba
 
Labda waende shule ya uigizaji na wakapate semina Hollywood.
Wana safari ndefu sana kusema ukweli.
Demu akiwa white na uao mzuri tayari yupo qualified kwenye film game
 
  • Thanks
Reactions: THT
Bongo movie
Waigizaji wanaume wanawa tafuta majimama wawalee
Waigizaji wanawake wanawavizia midume pia

Ova
 
nikweli unachokisema ,lakn. haimaanishi kwamba wotewalio kwenye tasnia hiyo ni bure, wapo waliowekeA akili,muda, ubunifu kuleta movie zitazochalenge katika tasnia, fatilia kuna muvi zitaachiwa mwaka huu mfano/MZALENDO,JESHI LA UKOMBOZI,MSTARI WA DAMU ,ni moja kati ya movies zitazofanyavizuri ,tusikalili
 
Ujinga wa bongo movie hata kama wali plan kuigiza stori aidha ya kweli yenye maudhui mazuri hata kama stori hiyo ilipaswa kuchukua dakika 45 kukamilika, wao watai-extend kwa kujizungusha zungusha ili mradi tu zitoke mbili wapate ulaji (part1&part2)

Kero zitaanza, vitu ambavyo havikua na umuhimu kuvionesha wao wataziongeza ili kufikisha lengo lao. Mfano scene inazungumzia dada wa kazi akimuwekea dawa kwenye chakula mama mwenye nyumba ili ammiliki mumewe.

Basi hapo wanaweza kuonesha situation nzima iliyofanyika jikoni kuanzia kuchambua maharage mpaka stage ya kuiva ili mradi tu muda uende. Mpaka unajiuliza hii ni movie au tutorial ya mapishi?

Unakuta baada ya dakika nyingi kupita unaona binti ameandaa msosi, sasa yule mama mwenye nyumba anamega tu tonge unakuta maandishi eti "watch out part two" goddammit hizo dakika mlizozipoteza kwenye uchemshaji wa maharage kwanini msikate hiyo scene muweke muendelezo?
 
Umeua mzee hiyo tabia inakera Sana unakuta wanapoteza muda mrefu mtu akidrive gari au kutembea kingine story zao Ni very predictable.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hawa jamaa dah,Ila mimi hupenda jitizamia mizigo tu
 
Back
Top Bottom