katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wakuu mambo zenu.
Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu.
Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme naishi humu humu so tunarekebishana.
Cha kwanza story mnazoandika ni nzuri na zina fundisho na waigizaji wako fresh sikatai ila tatizo ni moja tu.
Hamjui kutengeneza filamu ikavutia mtazamaji angalie nyimbo zile zile tokea kanumba dah
Halafu jinsi mnavyofikisha ujumbe kwa wahusika ni kazi kueleweka.
Yaani mtu anangalia mnaigiza ila hujui mnataka kuumpa ujumbe gani ??
Hadi part 2 ndio uuumize kichwa ndio ujue aha ni hivi.
No pendeni kujifunza kupangilia kitu kivutie nakifikishe ujumbe kwa mtu husika ndio maana mnakosa wanunuzi tumechoka kupoteza hela kwenye vitu ambavyo havieleweki.
Kaeni chini angalieni mtakachofanya ili mpate wale watazamaji wenu wazamani.
Angalieni tamthilia za zamani kama za kaole groups mambo hayo na wakina majuto filamu au tamthilia zao ni nzuri sana .
Zinamaudhui poa yaliyokusudiwa kwa wahusika .
Ila sasa unakuta mtu anapigana anatekwa ila hujui nini katekewa wewe unaona kafungwa tu nakupigwa baadae part 10 ndio unajua ah nimtoto wa tajiri.
Ila kwa tamthilia kweli ninzuri nyingi ila filamu bado.
Waendele tu na tamthilia nafuu.