Filamu za Bongo bado

Filamu za Bongo bado

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Wakuu mambo zenu.
Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu.
Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme naishi humu humu so tunarekebishana.

Cha kwanza story mnazoandika ni nzuri na zina fundisho na waigizaji wako fresh sikatai ila tatizo ni moja tu.
Hamjui kutengeneza filamu ikavutia mtazamaji angalie nyimbo zile zile tokea kanumba dah
Halafu jinsi mnavyofikisha ujumbe kwa wahusika ni kazi kueleweka.
Yaani mtu anangalia mnaigiza ila hujui mnataka kuumpa ujumbe gani ??
Hadi part 2 ndio uuumize kichwa ndio ujue aha ni hivi.

No pendeni kujifunza kupangilia kitu kivutie nakifikishe ujumbe kwa mtu husika ndio maana mnakosa wanunuzi tumechoka kupoteza hela kwenye vitu ambavyo havieleweki.
Kaeni chini angalieni mtakachofanya ili mpate wale watazamaji wenu wazamani.
Angalieni tamthilia za zamani kama za kaole groups mambo hayo na wakina majuto filamu au tamthilia zao ni nzuri sana .

Zinamaudhui poa yaliyokusudiwa kwa wahusika .
Ila sasa unakuta mtu anapigana anatekwa ila hujui nini katekewa wewe unaona kafungwa tu nakupigwa baadae part 10 ndio unajua ah nimtoto wa tajiri.
Ila kwa tamthilia kweli ninzuri nyingi ila filamu bado.
Waendele tu na tamthilia nafuu.
 
I think Loko Motion, pamoja na kuwa wanafanya short films za YouTube wana asilimia kubwa sana ya kufanya mapinduzi kwenye hii sekta ya filamu.
Idris popote ulipo keep working, bro. I know s/thing extraordinary is comin'

Upangiliaji wa stories. Matukio yapo vizuri... Wahusika wanauvaa uhusika haswa! Kama mtazamaji ulikua hutaki kucheka unajikuta unacheka. Huna mood ya kulia unajikuta unalia.

MauFundi pia (Fundi TV) na hizi episode zake tatu latest kwenye YouTube yake zimeniacha nacheka sana.! I believe it's a matter of time, tutaona maajabu.
 
Wakuu mambo zenu.
Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu.
Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme naishi humu humu so tunarekebishana.
Cha kwanza story mnazoandika ni nzuri na zina fundisho na waigizaji wako fresh sikatai ila tatizo ni moja tu.
Hamjui kutengeneza filamu ikavutia mtazamaji angalie nyimbo zile zile tokea kanumba dah !
Halafu jinsi mnavyofikisha ujumbe kwa wahusika ni kazi kueleweka.
Yaani mtu anangalia mnaigiza ila hujui mnataka kuumpa ujumbe gani ??
Hadi part 2 ndio uuumize kichwa ndio ujue aha ni hivi.
No pendeni kujifunza kupangilia kitu kivutie nakifikishe ujumbe kwa mtu husika ndio maana mnakosa wanunuzi tumechoka kupoteza hela kwenye vitu ambavyo havieleweki.
Kaeni chini angalieni mtakachofanya ili mpate wale watazamaji wenu wazamani.
Angalieni tamthilia za zamani kama za kaole groups mambo hayo na wakina majuto filamu /tamthilia zao ni nzuri sana .
Zinamaudhui poa yaliyokusudiwa kwa wahusika .
Ila sasa unakuta mtu anapigana anatekwa ila hujui nini katekewa wewe unaona kafungwa tu nakupigwa baadae part 10 ndio unajua ah nimtoto wa tajiri.
Ila kwa tamthilia kweli ninzuri nyingi ila filamu bado.
Waendele tu na tamthilia nafuu.
Filamu zao zinatabilika Sana ukimuona starring ni masikini Basi mwishoni anakuwa tajiri, mlinzi ni lazima awe mchekeshaji,jambazi lazima avae koti n.k lakini Sasa hiv nimeona wamejitahidi Sana kwa upande wa tamthilia km tego,huba,Siri za familia lkn kwa upande wa filamu bado Sana.
 
Kila mlinzi wa getini nati kichwani zimelegea😂😂😂
Wakati ulinzi ni sekta muhimu sana kwa usalama wa mtu yeyote.
The problem is that when someone, in bongo muvi, comes up with an idea and it turns out to be hilarious, All of them copy it until it starts to wear thin - it becomes a cliché.
Nakumbuka sajuki alikuja na mfumo wa kuweka kama nachi kwenye muvi zake. Kilichofuata ni wimbi la muvi zenye miziki michafu michafu ilimradi ku cop na watu - matokeo yake watu wakazitemea baharini.
Creativity ni kazi ngumu sana asee.
 
Kuna moja niliiona mahali fulani hivi.

Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
ray kwa umri wake mama yake anatakiwa awe na miaka 60 something lakini kwenye muvi Hidaya njaidi anakuwa ndio mama yake,bullshit,a load of rubbish,bongo movie sucks
 
Filamu zao zinatabilika Sana ukimuona starring ni masikini Basi mwishoni anakuwa tajiri, mlinzi ni lazima awe mchekeshaji,jambazi lazima avae koti n.k lakini Sasa hiv nimeona wamejitahidi Sana kwa upande wa tamthilia km tego,huba,Siri za familia lkn kwa upande wa filamu bado Sana.
Mtoto wa kike wa tajiri anaolewa na maskini.
 
Back
Top Bottom