Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

Hongera sana mkuu[emoji1787][emoji1787], Wengine maisha tumeanzia hostel za UDOM. Yaan ukiwa tu na mshikaji kule huwez kosa pa kulala jioni baada ya kazi.
Wa kishua dogo ugali mboga nane!
@Walec share ile link hapa janaa yetu asome mtililiko
Wakina @kelphin kepph tulilalia mkeka wew una laki nane!!![emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa wewe nisingekubali chumba 180k p/m, nyingi sana hiyo hela. Kwa 50k hadi 80k unapata chumba safi kabisa, hiyo 100k X 6months unaiingiza biasharani. Yani nisingetafuta chumba zaidi ya 360k kwa miezi sita.

Well, kila la heri. Maisha ni mapambano.
 
Zikiisha
 
Tafsiri nzuri ya maisha ni upambanaji wako usio weza kukata tamaa na wenye kutafuta kwa nia, iyo laki nane not a big deal, unaweza usiwe na laki nane na ukawin it depends on you unazichangaje karata zako, life has been always a game of chance.
 
Ona, dingi kampa 800k, msamaria kajitolea 180k *6months. ร‘ingetafuta chumba cha 80k then 100kx6 + 800k ningekuwa na 1,400k.
Ningeanzia hapo...kuna nyakati mambo yakiwa magumu unashuka chini uanze upya tu.

Vyuma vilivyokaza hata cha 50k angepata cha kumfaa, aweke akiba ya 20 000 maji na umeme na taka kwa mwezi takataka. Budget ya chakula, bundles, na nauli ya mizunguko vyote vingeingia kwenye ile 180 000

Kuanza maisha sio kumalizia maisha
 
Hivyo yani!
Vyuma vilivyokaza hata cha 50k angepata cha kumfaa, aweke akiba ya 20 000 maji na umeme na taka kwa mwezi takataka. Budget ya chakula, bundles, na nauli ya mizunguko vyote vingeingia kwenye ile 180 000

Kuanza maisha sio kumalizia maisha
Mimi mama D nilianza maisha tofauti sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu kabla ya kurudi home kwa baba mkubwa nilikuwa nina maisha yangu Ila nilivyorudi kwa bab mkubwa baada ya life kunipiga
 

Mwanzo mzuri.
Kadri muda unavyosonga,unaweza kujikuta unasema ni kwanini hukuondoka siku nyingi.
 
Aisee..nikajua 30k kwa miezi 6 ndo 180k,kumbe ni 180K x 6. Hii ikiisha ni msala
 
Asante kwa ushauli wako mzuri sana kwa sasa sina kazi wala biashara ya kuniingizia kipato ndo naaanza upya Ila kabla ya hapo nilikuwa kiwanda cha OK plastic vingunguti kwa siku nilikuwa napokea elfu 5 kama kibarua ila saivi pamefungwa kibarua nikawa sina nikajikuta narudi nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ