Finally,nimeamua kufunguka....

Yaani nilitegemea utatuhakikishia hakuna kugonga cheers hadi siku ya ndoa. What was i thinking?
 

Kwa jinsi ulivyompamba, ikitokea siku nimegombana na shemeji/wifi yako nitakuPM namba yake unisaidie kuniombea msamaha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Heh. Kwani kampeni rasmi zimeshaanza? Afu unajua im just 22 yrs old. Sijui niapply?
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi ulivyompamba, ikitokea siku nimegombana na shemeji/wifi yako nitakuPM namba yake unisaidie kuniombea msamaha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyu ninavo msema ndivyo alivo nakwambia. Ila sasa wewe na shem mkikosana siwezi kua na confidence ya kukusemea maana makosa yanaweza kua kwako kiukweli. lol
 
hongera Mungu akupe kile alichoomba toka kwake kila la kheri, ila sijafurahishwa kunimention hapo, sijui kwanini umefanya hivyo lakiini yote ni kheri ondoa shaka kwa hilo

ubarikiwe

watu8, MadameX, Chimbuvu, nitonye, Pipi, lara 1, Amoeba, Judgement, Zinduna, MziziMkavu, AshaDii, neggirl, C6, Arushaone, Bigirita, Bishanga, Bujibuji, figganigga, madameb, sweetlady, St. Paka Mweusi, Nicas Mtei

ID yako nyingine ni ipi katika hizo zilizokuwa mentioned? maana hii ya ladyfurahia siioni hapo atii
 
Heh. Kwani kampeni rasmi zimeshaanza? Afu unajua im just 22 yrs old. Sijui niapply?

Biashara matangazo mpenzi. Kama hataki kujitangaza because he is too humble and modest, mi nitamtangaza. Lazima interested parties wamkaribie kwa heshima, he is a rare breed!
Ila kwa wewe ku-apply naomba ufikirie tena coz you are toooo tough. Umeona nilivo sema he is VERY sensitive (very in capital)? you might take advantage of ukarimu wake. lol
 
ilikuwepo hapo juu,nimeshaitoa
 
Nilijua tu ataandika hii sred

Ndio maana jusi nilileta sred ya jinsi ya ku-cope na mwanamme sensitive au emotional
Nitaomba unishauri ili ni-impruvu skills jamani

 
Nilijua tu ataandika hii sred

Ndio maana jusi nilileta sred ya jinsi ya ku-cope na mwanamme sensitive au emotional
Nitaomba unishauri ili ni-impruvu skills jamani
Unakazi kubwa sana ya ku-compete na King'asti maana I know her determination, akiamua ameamua. But I see you as a best match, ingawa umri ndio hivo tena...
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisa
 
Duh! ndio kamind...kweli job true true
Best mie nakutakia kila la kheri kwenye huu mchakato wako, naamini utafanikiwa tu.
Muhimu uzingatie masharti na vigezo.

ilikuwepo hapo juu,nimeshaitoa
 
kwani watu8 hujaona amenimention hapo juu kwenye ukurasa juu ya thread yake kabisa angalia vizuri utaniona
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…