King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Yaani nilitegemea utatuhakikishia hakuna kugonga cheers hadi siku ya ndoa. What was i thinking?
hahaha...tuongee daily,nikiongea na yeye ataongea....wote tutahusika katika kuongea.....tukikaa karibu itakuwa vyema zaidi ili niweze kumwona na kumjulia hali wakati tunapokuwa na nafasi,,ninaamini uhusiano ni kujuliana hali,kusaidiana wakati wa shida na raha,kufurahi na kadhalika...haya yote ni ngumu kutimiza kama tutakuwa mbali geographically.......