Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu.
Ikiwa mtu ana sifa hizi.
Kashajenga
umri miaka 35....
watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third yupo la kwanza, fouth yupo tumboni.
Nidhamu ya pesa -
magari mawili ya Toyota yasiyozidi kwa pamoja milioni 60 yenye sifa ya kudumu
kula ni nyumbani badala ya hotelini
Kunywa ni mara chache, Bajet ya kinywaji haizidi laki 1 kwa mwezi
Mke, ndugu wala watoto wasijue chochote kuhusu hizo pesa, wao wajue una shughuli zako zinakuingizia kipato cha kawaida tu
Standard life nayomaanisha ni kwamba watoto wasome shule nzuri za private lama saint marys, nyumbani kuwe na mbogo saba daily, kuwe na vitoyota hata viwili vinavyodumu vya mke na mme, bia mbili ama tatu ila sio kila ni mara mbili tu kwa wiki.