Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

Komredi uliadimika sana aseee vipi mbn gafla mmeanza kuweweseka, si mpo vzr na madaraja, SGR, na mabarabara tulieni muone kama watu wanataka kula hayo makitu
 
Shida Nini mbona kwa miaka mitano Sasa tangu awamu hii iingie madarakani fedha nyingi zimetumika kwenye kampeni Hadi bajeti imeyumba
 
Hizo Pesa hazina Value..., yaani zikiingia katika mzunguko hazifanyi manunuzi ?, Tuache Propaganda za kitoto..., Je ni bora fedha zinazoingia au zinazotoka ?
 


Movies za barabarani hazitoshi, kuzuia wapinzani wetu kujinadi ilihali tunajinadi kila siku haikutosha...tuna vyombo vya dola bado tu waoga na wenye hofu kubwa sana.

Hofu yetu ni nini ikiwa tumefanya makubwa kuliko awamu zote?

Let us wait and see people's power!!!
 
Kampeni za lissu zitagharamiwa na hela halali za wazalendo wapenda mageuzi, tutamchangia, na marafiki zetu watatuchangia chops tatu na magari 200,

Lisu raisi mtatajiwa
 
Huu uchaguzi mlisema mnashinda saa nne asubuhi😂😂😂😂😂 Mambo yamebadilika ghafla?
 
Hili la watu wengi kutokulipa kodi alaf msaada isipokuja wanabebeshwa wengine linaniuma sana kiongozi. ..
Nashukuru na wewe umeiona hilo
 

Kafie mbele ,Malaya wa kisiasa wewe
 
That is it!!! Ahsante mkuu pakua nasisi tunaoambulia mifupa tupate minofu.
 

Tena hiyo inatakiwa iingie hata asubuhi hii, maana wananchi tuko hoi, huku wahuni wachache wa ccm wakinenepeana ndani ya maVX ya umma. Ni miradi mingapi ya wazungu iko nchi hii na wala hawakatutawala, ila hizo , $38m ndio zitumike kututawala? Hizi propaganda za kizee haziwabebi, pambaneni na watoa rushwa wa ccm huko achaneni na yasiyowahusu.
 
shida nn wakati mnakubalika hofu ya nini,mbona nyie mlikwapua 1.5
 
wanasaza kodi zetu hadi wanatoa rushwa makanisani na kununua jogoo kwa laki moja hali mhogo tu wa buku tunashindwa nunua
 
Mbona hujahoji fedha ya "makusanyo" ya Kisutu na DPP zinafanya nini na hazionekani kwenye maduhuli ya serikali achilia mbali kale ka-tr.1.5 kalikomchomoa profesa mzalendo kwenye u-CAG?
 
Kapigwe uko
 
Tayari BOT wameshafanya yao, wanasubiri wajinga wajichanganye na mipesa yao haramu.
 
Hivi kuna tofauti kati ya majimbo na nchi? Maana kama nchi imeendelea basi na majimbo yameendelea,Hayo ya upinzani yapo burundi? Ngumbaru kabisa
 
THIS IS AUGUST STILL MORE TO COME COMING OCTOBER 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…