Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

Mkuu watu walisha ingiza hizo pesa zamani.
Mwamba mmoha alichukua mkopo benk ya nje, lkn katika mkopo wake aliouchukua, alihamisha 20% ambazo ni za hao jamaa kufanya kampeni. Waka mrefund kwenye acc yake ya nje
 
Vipi hivyo vyote vimefanyika
Kati ya membe na lisu hakuna mwenye kibetri kwenye moyo
Subiri kampeni zianze acha woga
 
Hiyo pesa acha ije tu.wala hamna shida ila ushindi watausikia kwenye habari za michezo tu kwenye redio.
Kwa kuiba kura
Wizi wa kura unakuwaga na mwisho wake,na mwisho wake huwa mbaya
Sima historia
 
mkuu..tunayajua hayo usiwaze.na kwa kukunong'oneza tu, kuna kama euro 19m tumezidaka last week.
 
CHADEMA kazeni hapo hapo mpaka watu wale wakate roho.
 
Kwani ni mara ya kwanza tunasaidiwa na wahisani?
 
Kwani nchi imeundwa kwa majimbo ya Upinzani tu?
Wapinzani wakisema kua wanataka katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi..
Vipi imefanyika?
 
Kwa hiyo majimbo yote ya ccm yana maendeleo sio?hiyo sentensi pekee imeharibu mpaka kile ulichonuia kukiwasilisha na kukufanya uonekane mpumbavu na mjinga wa mwisho.
 
Mbona kutapatapa. ndugu usitake watu wakafukua makaburi yenu.
 
Usiwe kiazi si walisema hao wajasiriasiasa (wapinzani)wachaguliwe wao badala ya CCM ili kuleta tofauti Ni kipi walichafanya ndio jamaa hapo juu alichokusudia Sasa wewe weka orodha ya vitu walivyofanya
Usiwe andazi,mbona unajijibu mwenyewe sasa,uwe unaelewa kwanza na sio kudandia ilimradi tuu umetupia neno,sasa mbona mambo ni yale yale kwenye majimbo ya ccm na upinzani?na unakubali kuwa kuna upendeleo (sabotage) unafanywa na chama tawala dhidi ya majimbo ya upinzani ili tuu wasipate maendeleo.
 
uzi Tatar? Acha utani unakula buk 5 za Lumumba
 
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
 
Usiogope ujerumani na ubeligiji kuungana, taarifa hizo tayari serikali imekwisha zing'amua.
 

Tatizo no pesa au watu 😂😂 mnajali vitu vya kijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…