Financial Intelligence Unit (FIU), muwe makini kuna fedha nyingi itatoka zitatoka Ulaya kuja kusaidia kampeni za Chama cha Siasa

Mkuu watu walisha ingiza hizo pesa zamani.
Mwamba mmoha alichukua mkopo benk ya nje, lkn katika mkopo wake aliouchukua, alihamisha 20% ambazo ni za hao jamaa kufanya kampeni. Waka mrefund kwenye acc yake ya nje
 
Unaweza kuwa unampenda sana Lisu ila huu mziki wa mwaka huu si wa kitoto kama wengi wanavyojifariji.

Vyama vingi sasa havina fedha, sheria zimeshatungwa...ukitukana unakamatwa, wagombea wengi afya mgogoro.. hata kwa ndege hawawezi kuizunguka nchi kuomba kura...sera hawana..maana karibu vyote vilivyokuwa vinalalamikiwa vimefanyika... majimbo mengi ya upinzani hakuna kilichokifanya ( na wao wanajua).

UKIACHA JAZBA UKATAFAKARI KWA KINA...UTAKUBALIANA NAMI.
Vipi hivyo vyote vimefanyika
Kati ya membe na lisu hakuna mwenye kibetri kwenye moyo
Subiri kampeni zianze acha woga
 
Hiyo pesa acha ije tu.wala hamna shida ila ushindi watausikia kwenye habari za michezo tu kwenye redio.
Kwa kuiba kura
Wizi wa kura unakuwaga na mwisho wake,na mwisho wake huwa mbaya
Sima historia
 
mkuu..tunayajua hayo usiwaze.na kwa kukunong'oneza tu, kuna kama euro 19m tumezidaka last week.
 
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistleblower
CHADEMA kazeni hapo hapo mpaka watu wale wakate roho.
 
Kwani ni mara ya kwanza tunasaidiwa na wahisani?
 
Unaweza kuwa unampenda sana Lisu ila huu mziki wa mwaka huu si wa kitoto kama wengi wanavyojifariji.

Vyama vingi sasa havina fedha, sheria zimeshatungwa...ukitukana unakamatwa, wagombea wengi afya mgogoro.. hata kwa ndege hawawezi kuizunguka nchi kuomba kura...sera hawana..maana karibu vyote vilivyokuwa vinalalamikiwa vimefanyika... majimbo mengi ya upinzani hakuna kilichokifanya ( na wao wanajua).

UKIACHA JAZBA UKATAFAKARI KWA KINA...UTAKUBALIANA NAMI.
Kwani nchi imeundwa kwa majimbo ya Upinzani tu?
Wapinzani wakisema kua wanataka katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi..
Vipi imefanyika?
 
Unaweza kuwa unampenda sana Lisu ila huu mziki wa mwaka huu si wa kitoto kama wengi wanavyojifariji.

Vyama vingi sasa havina fedha, sheria zimeshatungwa...ukitukana unakamatwa, wagombea wengi afya mgogoro.. hata kwa ndege hawawezi kuizunguka nchi kuomba kura...sera hawana..maana karibu vyote vilivyokuwa vinalalamikiwa vimefanyika... majimbo mengi ya upinzani hakuna kilichokifanya ( na wao wanajua).

UKIACHA JAZBA UKATAFAKARI KWA KINA...UTAKUBALIANA NAMI.
Kwa hiyo majimbo yote ya ccm yana maendeleo sio?hiyo sentensi pekee imeharibu mpaka kile ulichonuia kukiwasilisha na kukufanya uonekane mpumbavu na mjinga wa mwisho.
 
Mbona kutapatapa. ndugu usitake watu wakafukua makaburi yenu.
 
Usiwe kiazi si walisema hao wajasiriasiasa (wapinzani)wachaguliwe wao badala ya CCM ili kuleta tofauti Ni kipi walichafanya ndio jamaa hapo juu alichokusudia Sasa wewe weka orodha ya vitu walivyofanya
Usiwe andazi,mbona unajijibu mwenyewe sasa,uwe unaelewa kwanza na sio kudandia ilimradi tuu umetupia neno,sasa mbona mambo ni yale yale kwenye majimbo ya ccm na upinzani?na unakubali kuwa kuna upendeleo (sabotage) unafanywa na chama tawala dhidi ya majimbo ya upinzani ili tuu wasipate maendeleo.
 
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistleblower
uzi Tatar? Acha utani unakula buk 5 za Lumumba
 
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.
 
Usiogope ujerumani na ubeligiji kuungana, taarifa hizo tayari serikali imekwisha zing'amua.
 
Wasalaam, Jamii Forums.

Nchi yetu inapitia katika kipindi ambacho inataka kuongozwa na Mataifa ya Magharibi kwa kila namna ili wanyonye Rasilimali zetu.

Fedha kutoka Taifa moja ya Ulaya zinatarajiwa kuingizwa nchini kwa Style ambayo vyombo vya ulinzi na Usalama lazima ziwe makini kwani zitakuja kwa mfumo wa Kununua bidhaa Tanzania na Watalipa kuliko Thamani halisi ya ya hiyo Bidhaa Jumla ya €32Million zimetengwa katika Uchaguzi huu na endapo chama Hicho kikishindwa basi mwaka 2025 watatoa kiasi cha €60Million kama msaada wa Kampeni ambazo zitawawezesha kuingia Ikulu.

BOT kupitia Kitengo chake cha FIU wawe makini Kwani vyanzo vyangu vinaniambia Fedha hii inaweza kuingia sasa hadi Mwanzoni mwanzoni September 2020. Fuatilieni transaction za kibiashara kati ya Tanzania na Taifa moja la Ulaya Magharibi.

Troll JF
Money Laundering Whistleblower

Tatizo no pesa au watu 😂😂 mnajali vitu vya kijinga sana
 
Back
Top Bottom