Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli.Tuwauzie sisi
Ni emotion tu za wanasiasa kiuharisia wanaumia mbona EU wamebadiri gia angani wanaendelea kununua na walitaka waisuse wameshindwaTutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walijiandaa mbna wanawaambia raia wao wajiandae nagharama zakupanda kwa bei za NISHATI ya UMEME GAS nkTutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyocoment kishabiki hapa unabaki kushangaa,wanaowaona hao Finland na Sweden ni wajinga sana kwamba hawajui kuwa Putin amekuwa akitumia hicho kigezo siku zote kuwatisha na walikuwa wanatishika.Iweje leo wameamua liwalo na liwe pamoja na kukata hiyo gesi na umeme,nina uhakika hawatokosa hizo huduma maana walishajua mapema na mchakato wa kujiunga NATO utaendelea kama kawaida.Ukiona Kobe yuko juu ya mti.........[emoji846]Tutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie msokoment kishabiki mtwambie walijiandaaje nawakat NISHATI tayar zishapanda bei kwenye hayo mataifa husikaWanavyocoment kishabiki hapa unabaki kushangaa,wanaowaona hao Finland na Sweden ni wajinga sana kwamba hawajui kuwa Putin amekuwa akitumia hicho kigezo siku zote kuwatisha na walikuwa wanatishika.Iweje leo wameamua liwalo na liwe pamoja na kukata hiyo gesi na umeme,nina uhakika hawatokosa hizo huduma maana walishajua mapema na mchakato wa kujiunga NATO utaendelea kama kawaida.Ukiona Kobe yuko juu ya mti.........[emoji846]
Kila siku mnaleta hizi porojo. Urusi hawezi kusavaivu bila kuuza gesi ulaya.Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Habari nizipendazo kusikiaKwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
[emoji1][emoji1] Wamarekani wa kibondo mna shida sana.Wewe unafikiri Finland itakufa njaa? Mnafurahia ufara wa fara fulani ambaye ameamua kuvamia nchi huru kibabe tu. Halafu nchi hiyo inapojitetea mnaumia. Misimamo mingine ni ya kishetani kabisa. Kama Idd Amin alivyovan=mia Kagera 1978, ulitaka Nyerere afanyeje kama siyo kutetea ardhi ya Tanzania?
Naam.Kama walijiandaa mbna wanawaambia raia wao wajiandae nagharama zakupanda kwa bei za NISHATI ya UMEME GAS nk
Labda walijiandaa kushindwa labda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1] Wamarekani wa kibondo mna shida sana.View attachment 2232344
Tatizo lako unafikiri mi ni mjinga mwezio - kwamba nashabikia Marekani kuvamia nchi nyingine. Assumption yako ni ujinga wa hali ya juu. Ukweli ni kwamba sishabikii mtu yeyote anayevamia nchi nyingine - awe ni Idd Amin, Bush, Hitler, ama Putin. Kama una akili hata ya kuvukia barabara, utakuwa umenielewa. Hii ni vita kati ya wema na ubaya. Siyo vita kati ya Marekani na Urusi. Kama ni mbumbumbu hautanielewa.