ni kweli upo sahihi lakini biblia ina msema marekani ndio baba wa uongo na atatetea mambo mengi ya uongo uongo.Tutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukirudi kwenye uhalisia ruble imepanda thamani haijawahi tokea ila watu wamesahau hili kua ruble ndio pesa yenye thamani na ushindani mkubwa mbele ya dollar upande wa biashara.
kwa kifupi poland na bulgaria walikatiwa ila mmoja 13 na mwngne 15 wakaomba poo ila haikutangazwaaa